KERO Wanachuo kutoka NCT Kutopata Ajira serikalini kupitia Ajira Portal

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua ngumu.. kwani mfumo wa Ajira (Ajira portal) unawakataa na hii imekuwa kilio Cha wazazi walio wengi watoto wao Kutopata Ajira huku hatima Yao ikiishia katika kujitolea bila mafanikio yoyote..

Kupitia Royal tour ya mama yetu utalii Sasa umefunguka na chuo hicho kutoa vijana wenye weredi lakini wanaishia kujitolea.. na ni chuo Cha serikali, wizara husika hili jambo linasikitisha sana.
 
Nadhan ni tatizo la wengi si wa chuo hiko tuu
 
Sio wew tu mkuu ata sisi uku tumesoma udsm atulambi asali
 
Vyuo vingi kijana havipo ajira Portal. Cha muhimu ni kuacha kutafuta kazi na kuanza kutafuta pesa.
 
Kijani - Apps on Google Play Gusa link uone fursa zilizopo ndani. Ajira za kutosha ni maombi yako tu hakuna haja ya connection. Wale tuliokosa TRA tuje hapa. Huu ni mshahara wangu wa kwanza. Niliweka nadhiri ntawasanua watu sitakula peke yangu. Kazi kwenu na sala zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…