White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
Kwanza niombe radhi kwa kuleta uzi huu kwenye mwezi mtukufu. Hii tabia nimeivumilia lakini nimeshindwa, wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali wanatabia ya kusimama na kushikana sehemu ambazo watu mbalimbali wanapita, mfano pale UDSM main campus utawakuta magufuli hostel along Sam Nujoma road.
Swali langu ni kwamba hamna mageto ya kuwapeleka mademu zenu?
Swali langu ni kwamba hamna mageto ya kuwapeleka mademu zenu?