Tall Msafi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 230
- 231
Vyuo vikuu kunakuwaga na matawi ya vyama vya siasa kama vile CCM na CHADEMA na ndio sehemu ambazo wanasiasa wachanga wanapatikana. Je, wanadiplomasia wachanga wanapatikana wapi kwa maana mwanadiplomasi ni mwanasiasa aliyestaarabika na sio mtu wa kuropoka majukwaani kama vijana wa CCM na CHADEMA. Diplomats wengi huwa ni watu waungwana na wastaarabu sana kama mama liberata Mulamula. Watu kama hawa wanapatikanaje?