Wanafamilia tushikane mikono

Wanafamilia tushikane mikono

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,551
Reaction score
4,454
Screenshot_20250119-123134~2.png
Ni kitabu chenye page 50 chenye mkusanyiko wa jumla ya Hadithi 16.Ambazo zinaweza kusomwa na watu wazima na Watoto.Hadithi zenye lengo la Kuburudisha,kuonya,kukosoa na kurekebisha tabia.
Kitabu hiki kimetumia lugha rahisi inayoeleweka kwa mtoto hata akisoma mwenyewe au kusomewa na Mzazi.
Kitabu kinapatikana Dar es salaam Bookshop Posta na Mtaa wa Muhonda na Likoma uliza kwa Rama White.
NB.Tuwarudishe wanetu kule tulikopita Hili wawe watu bora.
 
View attachment 3206277Ni kitabu chenye page 50 chenye mkusanyiko wa jumla ya Hadithi 16.Ambazo zinaweza kusomwa na watu wazima na Watoto.Hadithi zenye lengo la Kuburudisha,kuonya,kukosoa na kurekebisha tabia.
Kitabu hiki kimetumia lugha rahisi inayoeleweka kwa mtoto hata akisoma mwenyewe au kusomewa na Mzazi.
Kitabu kinapatikana Dar es salaam Bookshop Posta na Mtaa wa Muhonda na Likoma uliza kwa Rama White.
NB.Tuwarudishe wanetu kule tulikopita Hili wawe watu bora.
Hongera sana nitakusapoti
 
Back
Top Bottom