matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kugombana kwa wanandoa ni jambo la kiroho na linamalizwa kiroho.
Baba na mama wanaosali pamoja kabla ya kulala au asuhubi kabla ya kutawanyika wanajiweka katika uwezekano mkubwa wa kutogombana hovyo.
Kuna majini maalumu kwa ajili ya kuchafua ndoa (demons of strife).
Unapoendelea kuchochea onbwe la kiroho kati yako na mwezi unayapa nguvu kuchochea tofauti zenu na kuhafifisha kabisa vinavyowaunganisha.
Ni hayo tu.
Salini hata kwa kupapasa, matokeo utayaona kwa ghafla.
Barikiweni
Mtumishi Matunduizi