Wanafanana Elimu zao, Mbunge Mariam aliyeshauri Jeshi la Polisi Limpe kipigo Martha Karua apumulie Oksijeni ,naye Kaisha Form Four ya kuunga unga

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Mimi Huwa nasema humu Kila siku, UWEZO DOGO WA MTU WA AKILI ( UJINGA) HUENDA SAWA NA UKATILI, ROHO MBAYA, UPAYUKAJI NA KILA UOVU

Nyinyi hamjiulizi kwann Makazini, watu wajinga, ni wapiga majungu? Wanaenda sana Kwa waganga? Wafitini? Wako tayari kufanya lolote kubakia kwenye nafasi??.

Mnadhan kwanini Kiongozi Mjinga huogopa watu werevu??.

Sasa bwana, kumbe huyu Mbunge Mariam Licha ya kubwabwaja kote, kaishia form four ya kuunga unga
Screenshot_20250527_001357~2.jpg
 
Hawa ndo Wabunge, ambao túnategemea , Waishauri Serikali🤣
Nafasi ya ubunge ni ya uwakilishi (huchaguliwa na jamii) na si utaalam, bungeni siyo hospital panapohitaji vyeti husika, bungeni kuna wasomi wengi tu,wameleta tofauti gani!?..chagua bunge lolote afrika au ulaya halafu onesha manufaa yoyote yaliyoletwa na mbunge...si marekani si wapi,wabunge huchangia kwa mrengo wa chama
 
Toa upuuzi wako hapa .

Mimi sio CCM.
 
Mimi Huwa nasema humu Kila siku, UWEZO DOGO WA MTU WA AKILI ( UJINGA) HUENDA SAWA NA UKATILI, ROHO MBAYA, UPAYUKAJI NA KILA UOVU

Nyinyi hamjiulizi kwann Makazini, watu wajinga, ni wapiga majungu? Wanaenda sana Kwa waganga? Wafitini? Wako tayari kufanya lolote kubakia kwenye nafasi??.

Mnadhan kwanini Kiongozi Mjinga huogopa watu werevu??.

Sasa bwana, kumbe huyu Mbunge Mariam Licha ya kubwabwaja kote, kaishia form four ya kuunga unga
View attachment 3346779
Siku zote wabunge wenye Roho mbaya wachawi mashetani mungu huwaumbua kwa namna moja au ingine, sasa angalia yeye kafagilia ujinga wa Polisiccm kufanya mambo ya hovyo haramu ya kishetani kwa wakenya waganda wapenzi watazamaji wasikilizaji wasio na silaha, kuwabambikia kesi za uongo chadema, mungu kaanika Ushetani wake malipo ni hapa hapa Duniani
 
Ndo huyu?

Elimu. Hata isipokupa ajira ya moja kwa moja angalau itakupa uwezo wa kuchambua mambo kwa kina (kama hautaamua kuingia kwenye uchawa). Kwenye hili elimu bado haina mbadala!

View attachment 3346784
Polisiccm wanatengeneza matatizo kwa uonevu wao alafu hawataki watetezi wa haki za binadamu kuja kusikiliza kilio cha wanaoonewa na Busungwa na Timu yake?
 
Nafasi ya ubunge ni ya uwakilishi (huchaguliwa na jamii) na si utaalam, bungeni siyo hospital panapohitaji vyeti husika, bungeni kuna wasomi wengi tu,wameleta tofauti gani!?..chagua bunge lolote afrika au ulaya halafu onesha manufaa yoyote yaliyoletwa na mbunge...si marekani si wapi,wabunge huchangia kwa mrengo wa chama
Wabunge wa ccm kwa 80% ni vilaza sana na wengi sasa Akili zao ni majimboni na ili majina yarejee majimboni wapo tayari kwa lolote, ndiyo maana sasa wote wanaongea ujinga ujinga kusifia sifia maovu uonevu vitendo vyote haramu vya ushetani wa Polisiccm na Busungwa
 
Busungwa yeye anajua atakuwa waziri milele hajui kuna maisha baada ya uwaziri hajui kuna kesho yeye kaamua kujitoa fahamu kuwapa vitisho watanzania waache kukemea mapungufu ya wizara yake, Tanzania sasa ni Nchi iliyojaa ushetani mwingi
 
Watunga sheria wetu na tunategemea kushindana na Kenya achana na dunia huko mbali sana
 
Daah huu ni msiba, huyu ndo anatunga sheria za kuendesha nchi?
 
Back
Top Bottom