Wanafiki mnaomlaumu Refa Kayoko wa leo mna uhakika sikuwahi kuwaambia kuwa ni Mwananchi na Tajiri wa Ice Cream naye sasa Anahonga?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute.

Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi.

GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu kuwa kwa huu Msimu Mpya wa 2023/2024 hata Tajiri wa Ice Cream nae analitaka hili Taji na kwamba alishawahi Kumwambia mmoja wa Marafiki zake kuwa na Yeye kwa sasa ATANUNUA MECHI / ATAHONGA WAAMUZI kama Wafanyavyo Wananchi na Wazalendo wa Kariakoo hadi kieleweke hadi Ubingwa na ndicho anakifanya sasa na leo kakifanya hadi Refa kashindwa kabisa Kuzuga Kwenye mbungi muhimu iliyomalizika kwa Goli la Kusawazisha la Mlevi Mtaalam Kipaji kutoka nchini Zambia.

Endeleeni tu Kunichukulia poa sawa?
 
Refa la ovyo sana linajifanya colina linakunywa maji ovyo uwanjani na kuchelewesha muda
 
Mbumbumbu Fc msijifiche kwa refa, timu yenu mbovu Azam wametengeneza nafasi nyingi kuliko Simba.
Refa angalikua na upendeleo mchezaji wenu pa Job alitakiwa alambwe kadi nyekundu kwa rafu mbaya (un sports man faul)
 
Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute.

Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi.

GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu kuwa kwa huu Msimu Mpya wa 2023/2024 hata Tajiri wa Ice Cream nae analitaka hili Taji na kwamba alishawahi Kumwambia mmoja wa Marafiki zake kuwa na Yeye kwa sasa ATANUNUA MECHI / ATAHONGA WAAMUZI kama Wafanyavyo Wananchi na Wazalendo wa Kariakoo hadi kieleweke hadi Ubingwa na ndicho anakifanya sasa na leo kakifanya hadi Refa kashindwa kabisa Kuzuga Kwenye mbungi muhimu iliyomalizika kwa Goli la Kusawazisha la Mlevi Mtaalam Kipaji kutoka nchini Zambia.

Endeleeni tu Kunichukulia poa sawa?
Kwani Azam mlimfunga lini mechi ya mwisho tuanzie hapo kwanza!
 
Sijaangalia hii mechi ila matokeo nimeyapenda nilitaka draw hii ni nzuri kwa yanga
Sasa naomba Geita nae apige hapohapo alipopiga Azam
Napenda Simba wakichanganyikiwaaaa(in voice of that guy)
 
Ni kweli Leo Kayoko alikuwa na kasoro kadhaa kwenye uchezeshaji. Kuzitaja 2 tu Kati ya hizo;
1.Faulo dhidi ya Kibu Denis ilistahili penati Kwa Simba.
2.Kadi ya njano Kwa Pa Jobe haikuwa sahihi, ilistahili straight red card.
 
Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute.

Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi.

GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu kuwa kwa huu Msimu Mpya wa 2023/2024 hata Tajiri wa Ice Cream nae analitaka hili Taji na kwamba alishawahi Kumwambia mmoja wa Marafiki zake kuwa na Yeye kwa sasa ATANUNUA MECHI / ATAHONGA WAAMUZI kama Wafanyavyo Wananchi na Wazalendo wa Kariakoo hadi kieleweke hadi Ubingwa na ndicho anakifanya sasa na leo kakifanya hadi Refa kashindwa kabisa Kuzuga Kwenye mbungi muhimu iliyomalizika kwa Goli la Kusawazisha la Mlevi Mtaalam Kipaji kutoka nchini Zambia.

Endeleeni tu Kunichukulia poa sawa?
Upumbavu tu umekujaa kichwani
 
Mbumbumbu Fc msijifiche kwa refa, timu yenu mbovu Azam wametengeneza nafasi nyingi kuliko Simba.
Refa angalikua na upendeleo mchezaji wenu pa Job alitakiwa alambwe kadi nyekundu kwa rafu mbaya (un sports man faul)
Hata mimi nimeangalia mechi ya jana sijaona kosa la Refa. Wenzetu watuambie refa kakosea wapi hadi anunuliwe?
 
Back
Top Bottom