GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute.
Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi.
GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu kuwa kwa huu Msimu Mpya wa 2023/2024 hata Tajiri wa Ice Cream nae analitaka hili Taji na kwamba alishawahi Kumwambia mmoja wa Marafiki zake kuwa na Yeye kwa sasa ATANUNUA MECHI / ATAHONGA WAAMUZI kama Wafanyavyo Wananchi na Wazalendo wa Kariakoo hadi kieleweke hadi Ubingwa na ndicho anakifanya sasa na leo kakifanya hadi Refa kashindwa kabisa Kuzuga Kwenye mbungi muhimu iliyomalizika kwa Goli la Kusawazisha la Mlevi Mtaalam Kipaji kutoka nchini Zambia.
Endeleeni tu Kunichukulia poa sawa?