Harakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro..
Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha Rami afu ignorance level Yao ni kiwango cha mchanga.
Niliwahi kifikiri wasukuma ni wabaguzi mpaka nilipokutana na hii sampuli toka Berega.
Wavivu lakini ni wanafiki hawapendi maendeleo ya wengine hususani ukiwa mgeni , utapigwa vita ya Kila aina na uchawi wa hapa na pale..But money is universal language, plus Nina ulozi wa kiwango cha bahari, nimewakalisha na naenda nao bumper to bumper!