KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Tatizo lao hawajasoma Shule... Wengi wao Wako gairo ni Wana roho mbaya kweli... Just imagine Kuna Binti alimuua jamaa ambaye alimlea toka amefeli Chuo Uko Hadi akajipata na akaja kumsaliti na mkaguru Mwenzake ndani ya nyumba ya Mwanaume jamáa akafa Kwa pressure.... Na ni Omba Omba kiasi Fulani.... Hawanaga shukrani pia