adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Berega Hospital pale..chuoni pale😀Kwa kina prof kabudi huko 😄
Ova
Berega Hospital pale..chuoni pale😀Kwa kina prof kabudi huko 😄
Ova
Na kwa kina CDFKwa kina prof kabudi huko 😄
Ova
Usisahau kutaka na sifa ya ukarimu pia. Pia hapo kwenye uvivu na unapata hapana ni uongoHarakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro..
Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha Rami afu ignorance level Yao ni kiwango cha mchanga.
Niliwahi kifikiri wasukuma ni wabaguzi mpaka nilipokutana na hii sampuli toka Berega.
Wavivu lakini ni wanafiki hawapendi maendeleo ya wengine hususani ukiwa mgeni , utapigwa vita ya Kila aina na uchawi wa hapa na pale..But money is universal language, plus Nina ulozi wa kiwango cha bahari, nimewakalisha na naenda nao bumper to bumper!
Ndio mwehu.Au sio ponjoro?
Kwamdasi, mduo sio sherehe ni kikao ambacho kinafanyika ili kumchangia kijana mahari kwaajili ya kwenda kuoa halafu kwenye uvivu sio bhn. Pia kuongea kilugha sio ukabila ila nikaelewa ni kwamba asilimia kubwa hawajui kiswahili hawana exposure though ndo maana wanajua kilugha tu basiSwamnyenye, Digoya....Oya hawa jamaa ni wana ukabila kingese sana...!!! Ukiwa vijiji vyao kuanzia dumila, magubike,kiyegea Mtumbatu ,chakwale,chanjale,Rubeho,kitange,mamboya mpk kuvuka hiyo gairo....mwanzo mwisho ni kuongea kilugha tu....na majungu ni kitu cha kawaida. Ujinga wao unatokana na hii jamii kujitenga sana yaani wamejifungia kwenye maeneo yao hawahanganyiki sana na jamii au makabila mengine. Ulozi kwao ni kawaida...Wanapenda sana sherehe (aka miduo) yaani siku kama ana kazi shambani halafu kijijini kuna mduo basi yupo radhi aghairi kwenda shambani...!!
Ukaguruni na ugogoni ukiejda kulima ni bora utafute mashine za kazi (wasukuma, Watu wa kaskazini au Singidani huko) mwende kupiga kazi ...msichangamane na wazawa wa hapo maana uvivu,majungu ni jadi yao.
nimeishi nao na nawajua vizuri kuliko unavyofikiriaKwamdasi, mduo sio sherehe ni kikao ambacho kinafanyika ili kumchangia kijana mahari kwaajili ya kwenda kuoa halafu kwenye uvivu sio bhn. Pia kuongea kilugha sio ukabila ila nikaelewa ni kwamba asilimia kubwa hawajui kiswahili hawana exposure though ndo maana wanajua kilugha tu basi
😂😂😂Ukikutana na kabila analotoka mtangazaji wa mpira BARAKA MPENJA na CDF mstaafu MBOMA wanaitwa WAMALILA utarudi hapa kuwaomba msamaha wakaguru
Kuhusu UKIMWI kama ulivyotanabaisha basi nadhani wakaguru watasubiri sana kwa hawa maana kamtu ka miaka ishirini kuwa na Wake hata watatu sio stori huku wote wanezaliwa na ngoma .
Oya ukitembea hapa bongo utachoka na watu wengine wanaoitwa watanzania
Sitaki kuwasema akina Nshomile nisije kula ban ila ipo siku nitasema tu
Sema kweli!Kabisa! mimi nimeanza kwenda club nikiwa o level lakini sijawahi kufanya ushenzi wowote!
Ndoivyo!Sema kweli!
Tamu haikinai 😋Nitakupa iliyo tamu,
wala si kitunguu saumu,
natumai hutanilaumu.
Lazima utajidai,Tamu haikinai 😋
Hakika nitajidai 🫶
Nataka hiyo Sukari
Inifae maishani.
👯♂️👯♂️👯♂️👯♂️👯♂️👯♂️
Hivyo vijiji kuna watu wana fix sana unaweza wapelekea line ya kutengeneza pesaSwamnyenye, Digoya....Oya hawa jamaa ni wana ukabila kingese sana...!!! Ukiwa vijiji vyao kuanzia dumila, magubike,kiyegea Mtumbatu ,chakwale,chanjale,Rubeho,kitange,mamboya mpk kuvuka hiyo gairo....mwanzo mwisho ni kuongea kilugha tu....na majungu ni kitu cha kawaida. Ujinga wao unatokana na hii jamii kujitenga sana yaani wamejifungia kwenye maeneo yao hawahanganyiki sana na jamii au makabila mengine. Ulozi kwao ni kawaida...Wanapenda sana sherehe (aka miduo) yaani siku kama ana kazi shambani halafu kijijini kuna mduo basi yupo radhi aghairi kwenda shambani...!!
Ukaguruni na ugogoni ukiejda kulima ni bora utafute mashine za kazi (wasukuma, Watu wa kaskazini au Singidani huko) mwende kupiga kazi ...msichangamane na wazawa wa hapo maana uvivu,majungu ni jadi yao.
Muone.Lazima utajidai,
tamu sana kama chai,
nitakupaisha high,
kama yuke ndege tai,
wewe ni wangu my 😋😋
Uwe na usiku mwema,Muone.
Me nimechoka 😌😋
😅Uwe na usiku mwema,
msalimie sana mama,
nyumbani rudi salama,
bintiyo analalama,
tena ameshika tama,
ninamwonea huruma.
Mh, wamekukosea Nini Hawa waTZ wenzetu mkuu?Sifa nyingine ya Mkaguru ambayo inaendana kabisa na wagogo ni kuridhika katika hakuna.
Yaani akiwa kalima kamraba chake cha nyanya au mahindi basi yeye kasharidhika.Akiwa na kajumba chake cha matope (udongo) juu kaezeka bati 6 basi yeye ni tajiri na hakuna kitu utamfanya...akiwa kalima kinyungu chake cha maharage basi kasharidhika.
Haya maeneo ukienda na ukawa na mentality kama za wazawa wa hapo basi sahau kitu kinachoitwa maendeleo.
Isiwe sukari guru,
Nataka iwe yenye utamu,
Uliosimama Juujuu,
Nami nikae juu,
Nisikie utamu.
😂😂😂🙆
Aisee kumbe naweza
Ndo jamii ya wenye majina kama NEKUNEKU?Duh kumbe! ndio nayasikia leo! asante kunifahamisha!