Wanafiki wakubwa Tanzania ni wakaguru wanapatikana Kijiji cha Berega

Wanafiki wakubwa Tanzania ni wakaguru wanapatikana Kijiji cha Berega

Kwa sababu hawakukuzwa kuwa huru kujifanyia maamuzi.

Kwa mfano mimi nilizoeshwa kujinunua mwenyewe vitu hata japo nilikuw napewa hela tangu nikiwa shule ya Msingi.
Nilikuwa nanunua sare za shule, viatu vya shule, namalizia kidato cha 6 utaratibu ulikuwa huo huo, hiyo hali ikanijengea hali ya kuwa na nidhamu ya pesa kiasi kwamba leo hii hata nikikutana fedha nyingi kiasi gani najua sitakiwi kuziendea kwa pupa.
Changamoto imekuja kipindi naanza ku date, unakutana na vidada vinapenda pesa halafu na mimi pesa zangu nazipenda zaidi yao.
Kasheshe! Mpe mwanao uhuru, akifika mazingira mageni au mbali na nyumbani haimshtui nafsi!
 
Swamnyenye, Digoya....Oya hawa jamaa ni wana ukabila kingese sana...!!! Ukiwa vijiji vyao kuanzia dumila, magubike,kiyegea Mtumbatu ,chakwale,chanjale,Rubeho,kitange,mamboya mpk kuvuka hiyo gairo....mwanzo mwisho ni kuongea kilugha tu....na majungu ni kitu cha kawaida. Ujinga wao unatokana na hii jamii kujitenga sana yaani wamejifungia kwenye maeneo yao hawahanganyiki sana na jamii au makabila mengine. Ulozi kwao ni kawaida...Wanapenda sana sherehe (aka miduo) yaani siku kama ana kazi shambani halafu kijijini kuna mduo basi yupo radhi aghairi kwenda shambani...!!

Ukaguruni na ugogoni ukiejda kulima ni bora utafute mashine za kazi (wasukuma, Watu wa kaskazini au Singidani huko) mwende kupiga kazi ...msichangamane na wazawa wa hapo maana uvivu,majungu ni jadi yao.
 
Kabisa! mimi nimeanza kwenda club nikiwa o level lakini sijawahi kufanya ushenzi wowote!
Umenikumbusha
Mara ya kwanza kwenda Night club, nikiwa 1st yr nilikuwa na mdada ambaye kwa sasa ndiye mamsapu.
Nikiwa sina hili wala lile, nashangaa kwenye kelele simu inaita, kucheki naona namba ngeni, ile kupokea nasikia sauti upande wa pili inasalimia halafu inasema mimi G, nilikuwa demu wako kipindi fulani kuleee.
Nikabaki nimeduwaaa maana sikutarajia simu ya aina ile mahali pale. Alivyoona nashangaa shangaa akakata simuu.
 
Sifa nyingine ya Mkaguru ambayo inaendana kabisa na wagogo ni kuridhika katika hakuna.

Yaani akiwa kalima kamraba chake cha nyanya au mahindi basi yeye kasharidhika.Akiwa na kajumba chake cha matope (udongo) juu kaezeka bati 6 basi yeye ni tajiri na hakuna kitu utamfanya...akiwa kalima kinyungu chake cha maharage basi kasharidhika.

Haya maeneo ukienda na ukawa na mentality kama za wazawa wa hapo basi sahau kitu kinachoitwa maendeleo.
 
Umenikumbusha
Mara ya kwanza kwenda Night club, nikiwa 1st yr nilikuwa na mdada ambaye kwa sasa ndiye mamsapu.
Nikiwa sina hili wala lile, nashangaa kwenye kelele simu inaita, kucheki naona namba ngeni, ile kupokea nasikia sauti upande wa pili inasalimia halafu inasema mimi G, nilikuwa demu wako kipindi fulani kuleee.
Nikabaki nimeduwaaa maana sikutarajia simu ya aina ile mahali pale. Alivyoona nashangaa shangaa akakata simuu.
Hahahaaaaaaa
 
Back
Top Bottom