Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita ambayo ni Kiswahili, English, Sayansi na Teknolojia, Maarifa ya Jamii na Stadi za Kazi na Uraia na Maadili
 
Tatizo liko hapa Raisi kasha lisema, jiulize wanao fanya mitahani wa darasa la saba 1 2m lakini wanao fanya wa form four .4m, zaidi ya nusu wanapotelea wapi?
 
KILA LA HERI WANANGU MWENYEZI MUNGU AKAWATANGULIE. AMINA
 
Back
Top Bottom