Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita ambayo ni Kiswahili, English, Sayansi na Teknolojia, Maarifa ya Jamii na Stadi za Kazi na Uraia na Maadili