Wanafunzi 210,578 wa Darasa la 4 wamepata Daraja E kwenye Mtihani wa Upimaji, 116,251 wamefeli Kidato cha Pili

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo wamepata madaraja ya I, II, III na IV.

Akitangaza matokeo hayo leo January 04,2025 Jijini Dar es salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohamed amesema “Mwaka 2023 Wanafunzi waliofaulu walikuwa 592,741 sawa na 85.31%, hivyo ufaulu umeongezeka kwa 0.10%, kati ya Wanafunzi 680,574 waliofaulu kuendelea na kidato cha tatu, Wasichana ni 367,457 sawa na 83.99% na Wavulana ni 313,117 sawa na 87.13%, hivyo Wavulana wamekuwa na ufaulu bora kuliko Wasichana”

“Wanafunzi wa kujitegemea waliofaulu upimaji na kupata sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha nne ni 4,205 sawa na 55.94%, huu ni mwaka wa kwanza kwa Wanafunzi wa kujitegemea kutahiniwa upimaji huu”

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Wanafunzi 100 waliofanya udanganyifu na watano walioandika matusi kwenye skripti zao katika upimaji wa kitaifa wa darasa la nne.

Akitangaza matokeo ya upimaji wa darasa la nne na kidato cha pili leo January 04,2025 Jijini Dar es salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohamed, amesema “Baraza limefuta pia matokeo ya Wanafunzi 41 waliofanya udanganyifu na watano walioandika matusi kwenye skripti zao katika upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili”

“Matokeo hayo yamefutwa kwa mujibu wa Kifungu cha 5 (2) (j) cha sheria ya Baraza la Mitihani sura ya 107 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 30(2) (b) cha Kanuni za Mitihani za mwaka 2016”.

NECTA
Screenshot_2025_01_04_14_41_41_148_com_instagram_android_edit.jpg
Screenshot_2025_01_04_14_41_21_582_com_instagram_android_edit.jpg
Screenshot_2025_01_04_14_41_06_279_com_instagram_android_edit.jpg
Screenshot_2025_01_04_14_40_54_300_com_instagram_android_edit.jpg
Screenshot_2025_01_04_14_40_40_784_com_instagram_android_edit.jpg
Screenshot_2025_01_04_14_40_10_151_com_instagram_android_edit.jpg
Screenshot_2025_01_04_14_39_54_390_com_instagram_android_edit.jpg
Screenshot_2025_01_04_14_39_38_473_com_instagram_android_edit.jpg
Screenshot_2025_01_04_14_39_20_867_com_instagram_android_edit.jpg
 
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo wamepata madaraja ya I, II, III na IV.

Akitangaza matokeo hayo leo January 04,2025 Jijini Dar es salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohamed amesema “Mwaka 2023 Wanafunzi waliofaulu walikuwa 592,741 sawa na 85.31%, hivyo ufaulu umeongezeka kwa 0.10%, kati ya Wanafunzi 680,574 waliofaulu kuendelea na kidato cha tatu, Wasichana ni 367,457 sawa na 83.99% na Wavulana ni 313,117 sawa na 87.13%, hivyo Wavulana wamekuwa na ufaulu bora kuliko Wasichana”

“Wanafunzi wa kujitegemea waliofaulu upimaji na kupata sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha nne ni 4,205 sawa na 55.94%, huu ni mwaka wa kwanza kwa Wanafunzi wa kujitegemea kutahiniwa upimaji huu”

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Wanafunzi 100 waliofanya udanganyifu na watano walioandika matusi kwenye skripti zao katika upimaji wa kitaifa wa darasa la nne.

Akitangaza matokeo ya upimaji wa darasa la nne na kidato cha pili leo January 04,2025 Jijini Dar es salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohamed, amesema “Baraza limefuta pia matokeo ya Wanafunzi 41 waliofanya udanganyifu na watano walioandika matusi kwenye skripti zao katika upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili”

“Matokeo hayo yamefutwa kwa mujibu wa Kifungu cha 5 (2) (j) cha sheria ya Baraza la Mitihani sura ya 107 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 30(2) (b) cha Kanuni za Mitihani za mwaka 2016”.

NECTAView attachment 3192299View attachment 3192298View attachment 3192297View attachment 3192296View attachment 3192294View attachment 3192293View attachment 3192292View attachment 3192291View attachment 3192290
Tayari CCM yameanza kuandaa wapiga kura wao. CCM wabaya Sana katika hii nchi.
 
Pongezi kwa wanafunzi wote walio faulu.
Pia pongezi kwa Serikali ya CCM kwa kutoa Elimu bure kuanzia drasa la kwanza hadi kidato 6.
 
Hiyo Elimu haina msaada kwao elimu halisi ipo mtaani
 
At least wamebarudisha mchujo watoto watasoma,Always in nature binadamu lazima atahiniwe, otherwise hatofikia ndoto zake maana anakua hajajitathiminisha
 
Sheria inamtambua mtanzania kuanzia 18 yrs ni mtu mzima na anawajibika kisheria. I wonder hao vijana wadogo kwa kidato cha pili under 18 walioandika matusi (better read maneno yasiyofaa) bila kujua wanafanya nini kwa umri wao hawaonewi kweli (kwa mujibu wa sheria)?
 
D nayo ni ufaulu, ndo maana ufualu unaongezeka, hii nchi hii dah
 
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo wamepata madaraja ya I, II, III na IV.

Akitangaza matokeo hayo leo January 04,2025 Jijini Dar es salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohamed amesema “Mwaka 2023 Wanafunzi waliofaulu walikuwa 592,741 sawa na 85.31%, hivyo ufaulu umeongezeka kwa 0.10%, kati ya Wanafunzi 680,574 waliofaulu kuendelea na kidato cha tatu, Wasichana ni 367,457 sawa na 83.99% na Wavulana ni 313,117 sawa na 87.13%, hivyo Wavulana wamekuwa na ufaulu bora kuliko Wasichana”

“Wanafunzi wa kujitegemea waliofaulu upimaji na kupata sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha nne ni 4,205 sawa na 55.94%, huu ni mwaka wa kwanza kwa Wanafunzi wa kujitegemea kutahiniwa upimaji huu”

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Wanafunzi 100 waliofanya udanganyifu na watano walioandika matusi kwenye skripti zao katika upimaji wa kitaifa wa darasa la nne.

Akitangaza matokeo ya upimaji wa darasa la nne na kidato cha pili leo January 04,2025 Jijini Dar es salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohamed, amesema “Baraza limefuta pia matokeo ya Wanafunzi 41 waliofanya udanganyifu na watano walioandika matusi kwenye skripti zao katika upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili”

“Matokeo hayo yamefutwa kwa mujibu wa Kifungu cha 5 (2) (j) cha sheria ya Baraza la Mitihani sura ya 107 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 30(2) (b) cha Kanuni za Mitihani za mwaka 2016”.

NECTAView attachment 3192299View attachment 3192298View attachment 3192297View attachment 3192296View attachment 3192294View attachment 3192293View attachment 3192292View attachment 3192291View attachment 3192290
Kuna mtoto hapa kati ya masomo 9 kapata F4,D,2 na C,3.Kwa wale mnaoujua vyema mfumo wa Elimu nchini.Huyu anaenda kidato Cha tatu?
 
Hiyo Elimu haina msaada kwao elimu halisi ipo mtaani
We acha tu,ni vyema tujifunze kulea watoto katika uchapakazi na ubunifu,hii elimu ya Bongo tuiweke kama akiba,na huenda tukaitumia au tusiitumie mpaka kufa.
 
Back
Top Bottom