Wanafunzi 60,000 waanza mafunzo ya uzalendo Burkina faso

Wanafunzi 60,000 waanza mafunzo ya uzalendo Burkina faso

Jize one

Member
Joined
Jul 8, 2025
Posts
25
Reaction score
29
Takribani wanafunzi 60,000 waliomaliza elimu ya sekondari nchi Burkina Faso wameanza mafunzo ya uzalendo yatakayodumu kwa mwezi mmoja kama sehemu ya kuwajengea uwezo wa kutetea na kupigania taifa hilo la Afrika magharibi linalokumbwa na changamoto za ghasia za kijahidi,

Mpango huo umepanga kuzalisha vijana watakaokuwa waadilifu na wenye uchungu wa kutetea rasilimali za nchi kwa maslahi mapana ya taifa hilo.

Je unadhani ipo haja kwa mataifa mengine barani Afrika kuchukua mpango huu wa kuwawezesha vijana mafunzo haya uzalendo ili kujenga Afrika mpya itakayoongozwa na wazalendo
 
Mtu hawezi kuwa mzalendo Kwa kumfundisha tu darasani Bali msingi wa uzalendo ni uwepo wa haki na Hatua Kali Kwa mafisadi
Viongozi wa afrika wanataka waendelea kuiba pasipo kukemewa wala kuchukuliwa hatua na then wanataka katika wizi huo wanaoufanya wananchi wawabudu na kuwasifia huku wakiwatetemekea kwa hofu kuu kwao hawa viongozi huu ndiyo uzalendo
 
Back
Top Bottom