Hehehhe asante!Hilo la jinsia sioni ubaya wake maana hamna anaejua walikua wanafanya nini....labda nia yao ilikua mapumziko tu na hilo halina ubaya wowote.Ila kitendo cha kujirundika kwenye chumba ambacho ni kwaajili ya watu wawili tu au watatu ni kosa.mkwe umetoka lupangohaya tuendelee kwa hiyo hapo unasema tatizo ni kulala wengi chumba kimoja ama swala lajinsia..unavyomaanisha ingekuwa meneja wa hotel kalalama sawa ila ni hawa punguani wetu watoto wa mh mwema ndio wamelianzisha nadhan na hawa askari wanatakiwa kupimwa akili kabisa
The tehe tehe ... Miafrika haiweziiiiii. Ngozi zikigusana tu tayari agenda ishabadilika! Pia hawakuandikisha majina kwenye daftari na tatu ni kosa kwa watu wa jinsia tofauti kulala kwenye nyumba za wageni bila kuwa wanandoa.... Tatizo tunavunja sheria kila siku bila kujua hivyo kwakuwa tu hatuchukuliwi hatua!Hizi digrii za bamaga mh!
Hehehhe asante!Hilo la jinsia sioni ubaya wake maana hamna anaejua walikua wanafanya nini....labda nia yao ilikua mapumziko tu na hilo halina ubaya wowote.Ila kitendo cha kujirundika kwenye chumba ambacho ni kwaajili ya watu wawili tu au watatu ni kosa.
Hehehhe asante!Hilo la jinsia sioni ubaya wake maana hamna anaejua walikua wanafanya nini....labda nia yao ilikua mapumziko tu na hilo halina ubaya wowote.Ila kitendo cha kujirundika kwenye chumba ambacho ni kwaajili ya watu wawili tu au watatu ni kosa.
Give me one advantage of taking beer and I will give you 100 disadvantages!!sheria inasemaje?
Biashara zipi izo Lizzy?Wanaharibu biashara ya watu...
kwa ufahamu wangu mdogo,najua inaruhusiwa kulala mtu mmoja au wawili(wa jinsia tofauti).Nimestushwa kwa jinsi mnavyotetea kosa kwa namna ya kipekee.Thus wengi wenu mnakuwa mstari wa mbele kutetea wakosaji hapa jukwaani badala ya kuelimishana kupunguza idadi ya makosa jukwaani.Ktk masuala ya malazi hasa hizi nyumba za wageni kuna idadi inaruhusiwa kulala chumba kimoja na isizidi hapo. Kama wamekamatwa ujue sheria inayozuia ipo ila tumekuwa wavivu kufanya utafiti
Sheria za hotel...Kifungu gani cha sharia mumy wamevunja?
Mkuu. hoteli gani kigamboni double room watu wanalala sita mpaka kumi na mbili?Mambo mengine ni ya kijinga sana.Viwanafunzi vya kizungu vinajibana vinakuja bongo kutalii, vinalala vinne kwwenye double room au hata siita mpaka kumi, kule kipepeo beach kigamboni kwenye bandas za ufukweni, unakuta vimejirundika hata kumi, and it is okey kwa vile ni wazungu..........sasa hawa wanafunzi wa ustawi wamevunja sheria gani ya usalama mpaka wakamatwe na walinda usalama??@!This is bull shit!!
Hilo la kuandikana magazetini siafikiani nalo kwakweli....ni upotevu wa muda.Hilo kosa lipo kweli lkn inapaswa kuandikwa kwenye gazeti na majina yao juu?Hakuna masuala mengine ya msingi ya kuandikwa humo?
Biashara ya kuendesha Hotel/guest house.Biashara zipi izo Lizzy?
baada ya kuondoka rwegoshora kuna watu walikaimu hiyo nafasi ndo wenye amatatizo,nacte imewafungia kwa sababu hawana sifa ithibati ya chuo inaonyesha lzm pawepo prof sasa pale hakuna,wahathiri wakidai hilo wanafukuzwa kaziHivi hii chuo ya Stawisha jamii imekumbwa na nini mbona kinakwenda harijojo sana na leo nimesikia kimezuiliwa kudahiri mwaka huu
hii mistari yak o a bible ina relation gani na hii thread ..elezea kidogo hapaNanyi
kama mkiona ni vibaya
kumtumikia BWANA, chagueni
hivi leo mtakayemtumikia; -
lakini mimi na nyumba yangu
tutamtumikia BWANA.
(Soma Yoshua 24:15a, 15c.)
Ur right mkuu, pia hao mapolice ninjaa zao tu zinawasumbua.Mambo mengine ni ya kijinga sana.Viwanafunzi vya kizungu vinajibana vinakuja bongo kutalii, vinalala vinne kwwenye double room au hata siita mpaka kumi, kule kipepeo beach kigamboni kwenye bandas za ufukweni, unakuta vimejirundika hata kumi, and it is okey kwa vile ni wazungu..........sasa hawa wanafunzi wa ustawi wamevunja sheria gani ya usalama mpaka wakamatwe na walinda usalama??@!This is bull shit!!