Wanafunzi 8 wa chuo jinsia tofauti wakutwa guest chumba kimoja

Wanafunzi 8 wa chuo jinsia tofauti wakutwa guest chumba kimoja

mkwe umetoka lupangohaya tuendelee kwa hiyo hapo unasema tatizo ni kulala wengi chumba kimoja ama swala lajinsia..unavyomaanisha ingekuwa meneja wa hotel kalalama sawa ila ni hawa punguani wetu watoto wa mh mwema ndio wamelianzisha nadhan na hawa askari wanatakiwa kupimwa akili kabisa
Hehehhe asante!Hilo la jinsia sioni ubaya wake maana hamna anaejua walikua wanafanya nini....labda nia yao ilikua mapumziko tu na hilo halina ubaya wowote.Ila kitendo cha kujirundika kwenye chumba ambacho ni kwaajili ya watu wawili tu au watatu ni kosa.
 
Hao Polisi hawana kazi ? nini kinawapeleka kusachi nyumba za wageni ? hii yote ni njia ya kusumbua watu watoe rushwa. hii ni balaa watu wafuatao sheria wanakaa roho mkononi kuwaogopa Polisi na majambazi / fisadi wana kula maisha tu.

Hao wanafunzi hawana makosa - ni watu wazima na dhurufu zao za kipesa zimewafanya walale pamoja. Hao polisi wakumbushwe kazi zao ni nini.
 
The tehe tehe ... Miafrika haiweziiiiii. Ngozi zikigusana tu tayari agenda ishabadilika! Pia hawakuandikisha majina kwenye daftari na tatu ni kosa kwa watu wa jinsia tofauti kulala kwenye nyumba za wageni bila kuwa wanandoa.... Tatizo tunavunja sheria kila siku bila kujua hivyo kwakuwa tu hatuchukuliwi hatua!Hizi digrii za bamaga mh!

Mkuu kirua
Kwanza naomba uombe radhi wana jf kwa kudanganya omo
Mod naomba mwongozo ibara ya 8A.kipengele cha ustawi wa jamii
Wapi wameandika marufuku kulala jinsia tofauti bila ndoa..swala la kulala wanandoa ni uamuzi wa mwenye nyumba ya kulala na anatakiwa kuwajulisha wahusika wakati waingiapo...so kama awakujulishwa hili hilo nalo ni tatizo lingine kwa mwenye nyumba ya kulala wageni
siendekezi uzinzi ila ujue kuna matatizo mengine sisi ndio tunaweza kuyatatua anakuja ambae si mwanandoa akisoma kibao wanandoa tu arudi tena kwenye guest yako ingawa wateja wengi utawamiss
2.Swala la kujiandikisha ni kosa la mwenye nyumba ya kulala kama sijui natakiwa na ujaniambia nikuulize daftari la nini uje kuniona mzoefu wa kulala guest house
3.nahisi walikuwa wana nafuu kuliko kuandika majina ya uongo so uoni wamekwepa dhambi ya uongo ambayo ungelazimisha majina ungekutana na haya

KALUNDE MSUKULE
MAJINI KANYABAYO
DAVID BECKHAM
ALEX MWITUCHAKI
Haya ni majina feki ambayo ni dhambi so kama awakuandika na wapongeza kwa kuepuka na dhambi ya UONGO..binafsi tuache ukweli ujulikane na uongo ukae kando
 
Hehehhe asante!Hilo la jinsia sioni ubaya wake maana hamna anaejua walikua wanafanya nini....labda nia yao ilikua mapumziko tu na hilo halina ubaya wowote.Ila kitendo cha kujirundika kwenye chumba ambacho ni kwaajili ya watu wawili tu au watatu ni kosa.

Kifungu gani cha sharia mumy wamevunja?
 
Hehehhe asante!Hilo la jinsia sioni ubaya wake maana hamna anaejua walikua wanafanya nini....labda nia yao ilikua mapumziko tu na hilo halina ubaya wowote.Ila kitendo cha kujirundika kwenye chumba ambacho ni kwaajili ya watu wawili tu au watatu ni kosa.

Hilo kosa lipo kweli lkn inapaswa kuandikwa kwenye gazeti na majina yao juu?

Hakuna masuala mengine ya msingi ya kuandikwa humo?
 
sheria inasemaje?
Give me one advantage of taking beer and I will give you 100 disadvantages!!
this is no an offense so i suggest all charges against em to be dropped with the immediate effect!
And what can you tell us about your signature is this one of the dis's?
 
Nadhani tatizo sio wanafunzi tatizo ni kwa nini watu 8 walale chumba kimoja wakati sheria ya Guest inataka kila chumba walale wawili
 
Nimestushwa kwa jinsi mnavyotetea kosa kwa namna ya kipekee.Thus wengi wenu mnakuwa mstari wa mbele kutetea wakosaji hapa jukwaani badala ya kuelimishana kupunguza idadi ya makosa jukwaani.Ktk masuala ya malazi hasa hizi nyumba za wageni kuna idadi inaruhusiwa kulala chumba kimoja na isizidi hapo. Kama wamekamatwa ujue sheria inayozuia ipo ila tumekuwa wavivu kufanya utafiti
kwa ufahamu wangu mdogo,najua inaruhusiwa kulala mtu mmoja au wawili(wa jinsia tofauti).
 
Mambo mengine ni ya kijinga sana.Viwanafunzi vya kizungu vinajibana vinakuja bongo kutalii, vinalala vinne kwwenye double room au hata siita mpaka kumi, kule kipepeo beach kigamboni kwenye bandas za ufukweni, unakuta vimejirundika hata kumi, and it is okey kwa vile ni wazungu..........sasa hawa wanafunzi wa ustawi wamevunja sheria gani ya usalama mpaka wakamatwe na walinda usalama??@!This is bull shit!!
Mkuu. hoteli gani kigamboni double room watu wanalala sita mpaka kumi na mbili?
 
Hilo kosa lipo kweli lkn inapaswa kuandikwa kwenye gazeti na majina yao juu?Hakuna masuala mengine ya msingi ya kuandikwa humo?
Hilo la kuandikana magazetini siafikiani nalo kwakweli....ni upotevu wa muda.
 
Kwa wanafunzi wa chuo ni kawaida kabisa kuwa wengi katika chumba kimoja hasa kipindi hiki cha mitihani ya mwisho. Mbona tulikuwa tunadiscuss usiku kucha hata watu kumi ndani ya chumba kimoja?? Mambo mengine ni kuwadhalilisha vijana bila kosa.

Labda kama kunazaidi ya hapo...
 
Nanyi
kama mkiona ni vibaya
kumtumikia BWANA, chagueni
hivi leo mtakayemtumikia; -
lakini mimi na nyumba yangu
tutamtumikia BWANA.
(Soma Yoshua 24:15a, 15c.)
 
Hivi hii chuo ya Stawisha jamii imekumbwa na nini mbona kinakwenda harijojo sana na leo nimesikia kimezuiliwa kudahiri mwaka huu
baada ya kuondoka rwegoshora kuna watu walikaimu hiyo nafasi ndo wenye amatatizo,nacte imewafungia kwa sababu hawana sifa ithibati ya chuo inaonyesha lzm pawepo prof sasa pale hakuna,wahathiri wakidai hilo wanafukuzwa kazi
 
polisi wana njaa // form 4 leaver wanaona gere watoto wapo chuo mipolisi inaona gere
 
Nanyi
kama mkiona ni vibaya
kumtumikia BWANA, chagueni
hivi leo mtakayemtumikia; -
lakini mimi na nyumba yangu
tutamtumikia BWANA.
(Soma Yoshua 24:15a, 15c.)
hii mistari yak o a bible ina relation gani na hii thread ..elezea kidogo hapa
 
Mambo mengine ni ya kijinga sana.Viwanafunzi vya kizungu vinajibana vinakuja bongo kutalii, vinalala vinne kwwenye double room au hata siita mpaka kumi, kule kipepeo beach kigamboni kwenye bandas za ufukweni, unakuta vimejirundika hata kumi, and it is okey kwa vile ni wazungu..........sasa hawa wanafunzi wa ustawi wamevunja sheria gani ya usalama mpaka wakamatwe na walinda usalama??@!This is bull shit!!
Ur right mkuu, pia hao mapolice ninjaa zao tu zinawasumbua.
 
Back
Top Bottom