Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

duh sio yeye kasema ni amepata tu tarifa akaamua kuleta lakin mlivo muwakia dah........ ila inaonekana kawagusa wengi besides kwan tution dhambi au hamjui maana yake? mbn hata mkiwa kwenye lecture ya kawaida hiyo ni tution ndo maana ada yenu inaitwa tution fees... #uvivu wa kufikiri...just sayn

ni TUITION na siyo tution.
 
[wewe kama hujachaguliwa udsm halafu unaponda kuwa eti ni kukopi na kupaste utajiua bure kwa wivu wa ud nakushauri ahirisha mwaka huko uliko apply mwakani lakini sasa itakuwaje wakat una three ya kumi na snane sidhan kama prof.mkandala atakukubalia

kilaza mkubwa wewe
[/QUOTE]
 
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.

Kama hii habari ni ya kweli, sio muda mrefu tutaitaji tuition hadi makazini, nadhani pia mkuu wa nchi anahitaji tuition ya u-prezdaa.
 
MADA HAINA UKWELI WOWOTE, NA NYiE MNAOISHABIKIA UTUMBO HUU NAWAONA HAMNA AKILI KUSUPPORT JAMBO LA KUSIKIA TU.
 
Hiv kila mtu aki-diss udsm utasikia watu una wivu coz umekosa admis udsm! Agrrhhh acheni ujinga sijaona kitu special udsm bali kinapata sifa kisiasa tu!!
 
UDSM kama taasisi naikubali kwani ni chuo chetu sote watanzania and its equal oppotunity institute...so kusoma pale usifikiri wewe ni mmiliki wa chuo hicho..its public institution. UDSM iko juu..ila kwa mtu mmojammoja ni vizuri kujitathmini
je wewe una uwezo gani?
 
mbona wapo hadi wanaowafuata vijana wa a_level hapo kibaha ili wawaelekeze mambo
 
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
mbona ni sahihi tu.HATA ILE HELA WANAYOLIPA PALE CHUONI INAITWA TUTION FEES
 
am nat sure wit above thread xo natn i can say, lemme chln aside en let da PPL WHO KNW ABT zis 2 drop wt zei know
 
Tuition tuition tangu chekechea tuition, primary tuition, secondary tuition, college tuition and final university tuition. Lbda tuite hapa consultation!! ila kwa mtu anayesoma Shahada kukaa anapigwa tuition ni system breakdown!! Sasa afeli?
 
Development of ability for independent learning is one of goals of university education. A university student attending tuition would thus appear to be self deafeating. Incidentally, what happened to afternoon tutorial sessions?
 
Back
Top Bottom