Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
Utoto unakusumbua!
mbona umekua mkali mkuu??? kwani kuuliza ni ujinga??? na kwa nin uwe mkali?? ina maana ni ukweli?? ASILIMIA KUBWA ya mafisadi wametokea wapi?? sio kutoa povu tu kama umekatwa kichwa...usitake mwonyesha kila mtu una uwezo mdogo wa kufikiri!!!!!!!
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
UDSM pale toka 1976 kiwango kilishashuka ilichobaki pale ni bongo fleva (copying and pasting). We angalia mwanafunzi anamaliza chuo kikuu still he/she can't express him/herself properly.
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
Jamani huyu mtoa madfa yupo sahihi sana,wanafunzi wa pale wamekuwa vilaza sanaaaa kila kukicha tution,nakumbuka mwaka 2008 kulikuwa na baadhi ya wanafunzi wanaenda DIT kusoma tution ya PASCAL PROGRAMMING tena walikuwa wengi sanaaaa wengiwao wakitoka telecom eng na compture engineering,kuhusu TOUWA tumemsika sanaaa na nina kumbuka kuna jamaaa mmoja mwk 2010 kipind kuna utaratibu wa kuongea na mukandala pale NKURUMAH huyu jamaa aliouliza kwann chuo kisiwachukue watu km touwa waje kufundisha chuo cz anauwezo huo.......
Wakubali wachekwe hapo ni kukomaa tu mwanzo mwisho hadi kieleweke...