Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

kwani mliambiwa waliopo udsm ni vipanga tu? tuache kuwalaumu kama hawaelewi wafanye nini?.
 
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.

Utoto unakusumbua!
 
ukweli ni kwamba wanafunzi wa chuo kikuu siku hizi wamekuwa wavivu kufikiria,hawataki kuumiza vichwa katika kupambanua mambo,tatizo kubwa ni haya matumizi ya facebook yaliokithiri nchini na nchi zingine zinazoendelea,utakuta most of time mtu anatumia kwenye hii mitandao ya kijamii isiyokuwa na tija,mtu kama huyo atapata wapi mda wa kuingilia library na kuperuzi mambo kiundani?
 
JF the home of great thinkers!Most of the time I don't worry about what I say or write,I worry about how people are going to interpret it.
Issue ya tuition kama unavijua vyuo mbona ni issue ya kawaida,kumbuka hatulingani uwezo sasa je kipi bora upate sup au utafute mtu akubrush ufaulu?So anything is possible ila tuepuke generalization "wanafunzi wa udsm", "everyone","everybody" ni tofauti na "baadhi ya..."'some..".
Unajua kama Mzumbe kuna baadhi ya wanachuo wanapigwa brush mambo ya Maths na vijana wa Mzumbe sec hasa probability,statistics,Matrix?Tembea ni vitu vya kawaida na tunashukuru kwa taarifa yako kumbuka kuna wanafunzi wanaona aibu kuuliza hasa kama amezoe tuition tangu primary why not akiwa Chuo.Wakati niko chuo undergraduate tulikuwa tunawafundisha statistics watu wa masters ,upo?Yanatokea, cheki hii tuition hapa
 
Naungana na mtoa mada, nilikuwepo UDSM 2008-2011. Hili la tuition ni kweli na nimekuwa nilipingana nalo toka nikiwa pale...
Kinachosababisha ni uoga na kutojituma, haiwezekani mtu anayefikiri sawa sawa aende tuition akasome job costing au process costing...ila wachache[maana katika darasa la watu 500 walikuwa hawafiki 50 ]walikuwa wakihudhuria huko.
 
mbona umekua mkali mkuu??? kwani kuuliza ni ujinga??? na kwa nin uwe mkali?? ina maana ni ukweli?? ASILIMIA KUBWA ya mafisadi wametokea wapi?? sio kutoa povu tu kama umekatwa kichwa...usitake mwonyesha kila mtu una uwezo mdogo wa kufikiri!!!!!!!

Tatizo inawauma sana kusikia wanasoma tuition mtaani hii inaonyesha namna gani elimu ya bongo ilivyo magumashi!
 
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.

Hii biashara walioianzisha la watoto wao ndo wapate nafasi vyuo vikuu limechangia kuingiza manunda wengi sana. Leacturer hata ufundisheje huyo hakuelewi maana wengine wamezoea kuelewa kwa tuition tangia vidudu sasa hapa utaanzaje kumsaidia na powerpoint
 
UDSM pale toka 1976 kiwango kilishashuka ilichobaki pale ni bongo fleva (copying and pasting). We angalia mwanafunzi anamaliza chuo kikuu still he/she can't express him/herself properly.

Wewe umemaliza 1975 Ndio unajifanya nyie hamkudesa. acha bangi popote kuna mamba na kenge.
 
Hii ni kwa sabababu wengi wao hawna msingi mzuri katika levals za chini walizopitia.mfano wanafunzi wengi hawana msingi mzuri kwenye somo la ACCOUNTING hivyo hata wakipigwa lecture ni vigumu kuelewa kirahisi.lkn kuna haja kwa TCU kuwaweka wanafunzi kwenye course zao kulingana na misingi yao.kwa staili hii rasilimaliwatu inayotengenezwa na taasisi zetu ni feki.
 
lisemwalo lipo kama halipo laja, ha ha ha ha ha ha ha education ya Tanzania bwana is full of jokes kwa kweli and it keeps getting worse day after day
 
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.

ebo......!
 
Jamani huyu mtoa madfa yupo sahihi sana,wanafunzi wa pale wamekuwa vilaza sanaaaa kila kukicha tution,nakumbuka mwaka 2008 kulikuwa na baadhi ya wanafunzi wanaenda DIT kusoma tution ya PASCAL PROGRAMMING tena walikuwa wengi sanaaaa wengiwao wakitoka telecom eng na compture engineering,kuhusu TOUWA tumemsika sanaaa na nina kumbuka kuna jamaaa mmoja mwk 2010 kipind kuna utaratibu wa kuongea na mukandala pale NKURUMAH huyu jamaa aliouliza kwann chuo kisiwachukue watu km touwa waje kufundisha chuo cz anauwezo huo.......

Hii ingekuwa udom wapuuzi ungewaona wamejaa hapa wakisema chuo cha kata.....ukweli unauma siku zote
 
Usituletee mauza uza na post zako zilizo-expire em toka hapa m.shamba wew
 
Back
Top Bottom