englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,208
sasa tatizo liko wapi? Kama mtu haendi
darasani na akaamua kwenda kupigwa msasa na huyo ticha kuna tatizo gani?[/QUOTE
kama huoni tatizo wewe mwenyewe ni tatizo
duh sio yeye kasema ni amepata tu tarifa akaamua kuleta lakin mlivo muwakia dah........ ila inaonekana kawagusa wengi besides kwan tution dhambi au hamjui maana yake? mbn hata mkiwa kwenye lecture ya kawaida hiyo ni tution ndo maana ada yenu inaitwa tution fees... #uvivu wa kufikiri...just sayn
xac na mi namcngaa, ila nakucngaa u xaidHuyu mdoa mada chiz,kwan kunaubaya gan m2 kwenda tuition,au ndo umekalil mxemo wakizaman anayexoa tuition hana akil
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
ni TUITION na siyo tution.
si ulielewa lakini ama? soma maneno usisome kilichokosewa na wewe mvivu wa kufikiri tu
mbona ni sahihi tu.HATA ILE HELA WANAYOLIPA PALE CHUONI INAITWA TUTION FEESKuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
mbona ni sahihi tu.HATA ILE HELA WANAYOLIPA PALE CHUONI INAITWA TUTION FEES
SIO KWELI....
embu jaribu kucheki faida udsm iliyoleta hapa tz na hasara pia??!!!