Sahivi hakuna opt ya masomo, wanasoma yote hadi 4m 4.Ungeandika kwa utaratibu. Labda anaoufanya ni mchujo wa kuwapata wanafunzi wanaozingatia anachofundisha na kufaulu. Hapo ni kumsaidia mwanafunzi kumtua mzigo ambao hakuwa anauweza.
Lakini si walifuta mfumo wa opt kwa wanafunzi? Au opt imerudishwa tena?Ni Kawaida kwa shule nyingi kuweka wastani kwenye masomo complicated kupunguza miswaki hapo baadaye mtihani wa taifa.
Wanaojitoa kusoma basi wasome bila kubabaisha..wavivu wavivu wapambane na masomo Saba yaliyobakia.
Dah ila hii elimu aisee yani unakuja kutibiwa na dokta ambae ata wewe biology unaijua kushinda yy.. mtu ana D ya biology af anakua daktari aiseeKwa elimu ya sasa wacha watu wasome tu jamani.
Hizo D za chemistry na Bios. Zitamsaidia kusoma course ya afya ambayo itampa Maisha baadae.
So kuwa na wanafunzi wachache sio kigezo cha kufundisha na wakaelewa
Huyo mwalimu apewe zawadi kama mwanafunzi anapata D form two itakuaje form four?katika shule ya secondary Kanoge iliyopo wilayani Nsimbo mkoani KATAVI Kuna tatizo la mwalimu wa somo la chemistry kuwatoa wanafuzi kwenye somo analofundisha akidai yeye anahitaji wanafunz atakao wafu Disha table teach mfano wanafunz WALIOPO kidato Cha nne mwaka 2024 hawafiki hata15 wengi wao aliwaondoa kwenye somo Hilo Bada ya kuwapa mtihani walipo kua kidato Cha tatu wote waliopata grade C na D aliwafukuza pia Kwa waliomaliza kidato Cha nne mwaka 2023 wapi aliowatoa hali kama hii inakatisha ndoto za wanafunz wengi wenye malengo ya kusoma masomo ya sayansi
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hizo maksi zako ulipaswa Kwenda upolisi ukawapige virungu chadema, na sio kuchezea afya za watu
Kama walifuta ni kisiasaLakini si walifuta mfumo wa opt kwa wanafunzi? Au opt imerudishwa tena?
Wazazi wanaonaga fahari mtoto anaposoma sayansi, kuna dingi mmoja aliwaghasi walimu, na anajitapa kijiweni kuwa mtoto wake ameruhusiwa kusoma sayansi, kumbe dogo alipata B moja tu ya Kiswahili, huko kwingine ni benderaKwanza Ni aibu mzazi kuhoji sh Elfu 5 kwa mwezi ajili ya masomo ya ziada kwa ajili ya mwanao, Tena anaesoma masomo ya sayansi, Tena shule hizi za elimu bure, ticha mmoja wanafunzi mamia darasani.
Enzi zetu tulikua tunalipia kwa topic, Tena mitaani na ukimwambia mzazi hata hakuulizi Mara mbili mbili ili usilete visingizio vyako Siku ukifeli, maana kifuatacho Ni stick Kwenda mbele.
Sasa mwanao unataka afaulu afu ata kutoa motisha ya elfu 5 kwa mwalimu wake akufundishie mwanao vzur unahisi Kama unatapeliwa.
Hivi wazazi Kama nyie Ni mnajielewa kweli?
Kwanza mtoto akipata D au C huyo hajafeli, hata kwenye cheti ukipata D huandikiwi FAIL unaandikiwa PASS!Mtoto Kutaka kusoma asicho na uwezo nacho kisa tu anakipenda nao Ni ujinga mwngine, Mtoto asome anachokimudu.
Kama angekua anakipenda Basi angejibidiisha kukisoma na angefaulu Kama wengine ili kusiwe na longolongo.
Ningekua wewe,
Ningemuuliza mtt sababu za kufeli na anajua mwalimu keshaweka standard zake anazopaswa kuzipass ili kusoma sayansi. Na sio kumlaumu ticha.
Unafahamu kwamba mwanafunzi form four akipataSasa Chemistry ya Form 2 mwanafunzi anapata D, mimi naona ni sawa tu kwa mwalimu kumkataza mwanafunzi wa hivyo kuendelea na hilo somo, maana utakua ni mzigo tu kwa mwanafunzi, bora akomae na masomo mengine anayoyaweza zaidi.
Chemistry ya Form 2 ukipata D, most likely hapo form 3 itamtesa sana sana, na form 4 ataishia tu kupata F au akikomaa sana hiyo hiyo D. Mwalimu anafanya hivyo kwa faida ya wanafunzi, wazazi acheni kulazimishia watoto wasome masomo ambayo yanawakimbiza, na muwe waelewa msipende kulazimisha mambo.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Mwanafunzi pekee ndio mwenye maamuzi ya kusoma au kutosoma
Si kazi yake mwalimu kuamua Nani asome!
Hata Kama Mwanafunzi amepata F form two, ni haki yake kuamua asome chemistry au aache,
Hizo geography, Biology na maths wanafunzi wanapata F na wanaendelea kusoma
Unamwamuliaje Mwanafunzi, mustakabali wake?
Unaijua hatima ya maisha yake mbeleni?
Waalimu wajue kuwa shule sio zao, maabara sio zao, maburette, mahydrochloric sio zao, Ni za serikali kwa Kodi za wazazi wa hao anaowakataa,
Mtoto amepata C, D form two, anataka kuendelea kupambania kombe yeye anamzuia kwa mamlaka gani? Kwa muongozo gani?
Mwalimu Bora Ni yule anayemwezesha kilaza kuperform kwa kutumia mbinu mbalimbali za ufundishaji
Mwalimu huyohuyo, ameshasahau alipata chemistry C form four, chemistry D form six, na alipata sup ya kozi ya chemistry kule DUCE
Hizo D, vijana wetu zinawasaidia kwenda kusomea ufugaji wa kuku na wakaanzisha ufugaji kujikimu na maisha
Waalimu wanajifanyaga ndio wafalme wa shule, ndio watunga sera za Elimu wakati wao ni watekelezaji wa sera tu
Watunga sera wametoa option kwa Mwanafunzi, na si kwa mwalimu,
Kazi ya mwalimu Ni kufundisha tu!
Waalimu hawapendi kufuata miongozo ktk uendeshaji wa shule, ndio maana serikali itasema wanafunzi warudi likizo, wao wanasema hapana wasirudi likizo
Serikali itasema bakora ni fimbo tatu, wao ni bakora za mvua tena za changizo waalimu wote staff
Tumieni busara.Yupo sahihi sasa C and D za nini? Nenda kasome history huko.
Acha ujinga ww nina mfano halisi kwamba watu wanabadilika, kuna dem nimesoma nae tulipokuwa form one na form two hakuwa vizur ktk masomo ya sayansi. Alikua anapata D ni rafiki yang kabisa ila tulipoingia form 3 alikuja tofauti kabisa alibadilika akawa Ana faulu kushinda mpaka kina john kisomo na necta alipata physics C,bio A , chemistry B,Math D.Sasa Chemistry ya Form 2 mwanafunzi anapata D, mimi naona ni sawa tu kwa mwalimu kumkataza mwanafunzi wa hivyo kuendelea na hilo somo, maana utakua ni mzigo tu kwa mwanafunzi, bora akomae na masomo mengine anayoyaweza zaidi.
Chemistry ya Form 2 ukipata D, most likely hapo form 3 itamtesa sana sana, na form 4 ataishia tu kupata F au akikomaa sana hiyo hiyo D. Mwalimu anafanya hivyo kwa faida ya wanafunzi, wazazi acheni kulazimishia watoto wasome masomo ambayo yanawakimbiza, na muwe waelewa msipende kulazimisha mambo.
Uwezo Hana au hiyo D umeona kama kafaulu sana?Ingekua ni mtoto hataki kusoma ila mzazi anamlazimisha ningekuunga mkono! Mtoto anataka kusoma, mwalimu hutaki asome? Hii sio sawa!