Wanafunzi kufukuzwa kusoma somo la chemistry ilhali wamepata grade "C na D"

Hivi wale wanaoingia form iii wana c moja ya kiswahili masomo mengine F nao wafukuzwe kwenye hayo masomo au!

Sera inasema mwanafunzi atachagua, wala haijasema awe amepata grade ipi

Kazi ya mwalimu ni kufundisha sio kuchagulia watoto kitu cha kusoma, hiyo ni kazi ya watu wengine

Huyo mtoto akipata F, cheti chenye F kitakua ni cha huyo mtoto sio mwalimu
 
Ni Kawaida kwa shule nyingi kuweka wastani kwenye masomo complicated kupunguza miswaki hapo baadaye mtihani wa taifa.
Wanaojitoa kusoma basi wasome bila kubabaisha..wavivu wavivu wapambane na masomo Saba yaliyobakia.
Mwalimu Yuko sahihi
Masomo ya sayansi hayataki kilaza

Ndio maana Shule za katoliki hawataki huo ujinga

Wastani huo haukubaliki akasome kokote combination za HGL au HGK na course zozote zenye History mbele sayansi akae nazo mbali kilaza huyo

Shule za kanisa katoliki kufaulisha sana masomo ya sayansi Huwa wako so strict no nonsense mtu kuingia kusoma masomo ya sayansi wanachuja hasa hawataki mtu mwenye akili za kuunga unga tu utaondoka na C Yako sio Chemistry tu hata iwe fizikia ,au biology au Hisabati
 
Option zipo, kuna biashara, kompyuta (kwa baadhi ya shule), science (hawa wanapiga Physics na Chemistry) na wengine wengi hujichagulia sub-science (kwa kuacha Physics)
Oooh kumbe, hapo kat ilikua no option. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo kati walifuta, labda wamerejesha upyaa.
 
Wewe ulipaswa ufukuzwe na shule kabisa. Mnapoteza tu ada za wazazi wenu akili hamna na hamwelewi. Hujui hata kupangilia hoja na umemaliza darasa la 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…