Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

Binafsi kama dogo ana malengo na kozi za afya kma udaktar, famasia n.k namshauri aende diploma, kwanini?
Vyuo vinavotoa degree kwa kozi za afya ni vichache mno hali inayopelekea cutting points kuwa juu mno, imagine kuna dogo langu katia one ya 9 amekosa md na famasi kaenda kusoma microbiology udsm..

Ila kama ana malengo na fani za uhandisi, biashara na sanaa nashaur aende tuu advanv coz hizo fani zinatolewa na vyuo ving kidgo so cutting points zake ni za kawaida mpk 3 ya mwanzo mtu anaenda chuo vizur tuu yaan D mbili tu..
 
kama una uwezo mzuri na uhakika soma advance ila kama tia maji nenda kabisa Diploma
Point yako naikataa kabisa kwamba wanaoenda advance ndo wenye uwezo mbona siku hiz mtu ana division three ya 25 anaenda advance na mwenye one anaenda chuo Cha kati ukweli usi pingika advance ni kupoteza mda tu na ndo maan nchi zingine huu utaratibu hawana na sioni umhim wa advance zaidi tu ya kukupa cheti Cha kujiunga Degree tofaut na hapo hamna faida nyingne hata kwenye application za kazi mara nyingi chet Cha form four ndo mhim Cha advance huwa hakihitajiki
Kwaiy ni Bora chuo kuliko Advance
 
hio sawa kuna mabinti wamevunja 7 With flats A pale st francis wamepangiwa Muhas moja kwa moja Pharmacy
 
Yaan mtu una 3 unaenda COET? acha masikhara wee.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila akitaka soma shahada ya kitu husika bado atasumbuka maana watahitaji GPA kubwa na kingine bado atasoma miaka ile ile
 
Ukiwa na Advanced huendi undergraduate Bali unaenda Masters.

Ukiwa na Ordinary Diploma au FTC unaenda Bachelor
Ukiwa na Advanced Diploma hauendi Masters.... unaenda Post Graduate Diploma mwaka mmoja then ndo una-qualify Masters..!! Na by the way kwa Tanzania sasa hivi hakuna chuo kinachotoa Advanced Diploma
 
Advance ni muhimu sana Kwa maendeleo ya nchi katika kujitegemea kiteknolojia kwa kua Siri ya ulimwengu wote Ina mwagwa hasa katika comb za science Mfano PCM unaelezwa vyote juu ya asili ni wewe tu. Ila kutokana na sie waafrika hatuna akili sijui tumelaaniwa unakuta mtu anasema advance Haina faida yaani faraday kakesha miaka sita kuguundua law of electromagnetic induction iliyofanya uwepo wa umeme anakuja mpuzi mmoja anakwambia pcm Haina faida
 
Kwanini umeliita tatizo? maisha njia tofauti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…