Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

Hakuna elimu ngumu ndani ya muda mchache kama Advance. Narudia tena, ni NGUMU SANA.

Kwenda Form 5&6 basi mwanafunzi mpaka muda huu awe amesoma walau Topic zote za Form 5. Mpaka July awe amecover robo tatu ya Form Six.

Walau hapo kuna ahueni. Vinginevyo, utataga yai au Four ya uhakika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Narudia nenda Diploma. Hata ukiwa vizuri . Huko vyuo vikuu hao wanaotoka diploma wako vizuri zaidi hata kuwabrush wanaotoka advance.

Mfano: advance usome PCM alafu chuo kikuu ukasome ELECTRICAL ENGINEERING.. ambapo unakutana na mtu wa diploma in ELECTRICAL ENGINEERING tayari darasa moja. What next?
Usidanganyee hapaaa, hao waDiploma wanagusa kidogo tyuuh huko, wakija Degree wanakua wapyaaa km freshers kutoka advance, tuko nao na tunawaonaaa.
 
Mimi binafsi nilikuwa napenda sana kwenda advance then 2016 nilifanikiwa kujiunga advance mchepuo wa PGM ila kwa bahati mbaya tokeo halikuwa zuri hvyo nikashindwa kuendelea na degree... sikuwahi penda kusoma diploma ila kutokana na matokeo yangu ilinilazimu tena kurudi Diploma 2018..nilifanikiwa kupata chuo cha madini(MRI)Dodoma kozi ya Geology and Mineral Exploration..

Namshukuru Mungu nilimaliza vizuri mwaka 2021..ila mpaka muda huu sijafanikiwa kupata kazi ya kudumu ..ila nimepanga kuendelea na degree mwaka huu mwezi November kama nitakuwa sijapata kazi permanent.


Kama kuna dogo yupo olevel ni bora aunge diploma kwanza uhakika wa kufaulu kuendelea na degree ni mkubwa sana kulinganisha na advance pili unakuwa na uwanja mpana kwenye soko la ajira ..mfano mm mwenyewe now nikitaka kwenda kusoma degree naweza badilisha kozi hvyo nakuwa na uwezo wa kuomba kazi mbili tofauti kwa kutumia cheti changu cha diploma na degree.


Nawasilisha ..mwenye connection ya mambo ya geology tushirikishane .
Ulipoteza muda poleeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutumia mitaala ya NECTA hakuna elimu Tanzania ni upuuzi tu. Ndio mana watoto, vijana, walezi na wazazi wote wanateseka na kuhangaika kama hivyo.

Ukiwa na nafasi nzuri tafuta elimu bora abroad usipotezee mda wako kwa elimu ya Tanzania, utajuta.

Wanaojenga madaraja na barabara engineer wanatoka wapi?
Watawala wanakimblia kutibiwa wapi?
Sasa kuna elimu Tanzania?
 
Aya ya mwisho umedanganya. Aliyepitia advance ndiye mwenye nafasi ya kusoma kozi nyingi zinazotolewa na vyuo vikuu ngazi ya degree. Mfano PCM anasoma kozi zote za engineering na baadhi ya kozi za art (Accounting, Economics, e.t.c). Plus Deploma zote. Mtu mwenye uwezo hawezi kufeli advance. Mara nyingi wanaopitia diploma huwa wanaona uwezo wao hauwezi pambana na masomo ya advance. Kweli kama uwezo wako ni mdogo usipitie advance. Kingine kusoma diploma ni gharama kuliko kusoma advance. Kama huna mtaji wa kusoma diploma nenda advance. Ukipitia advance kuingia chuo kikuu ni rahisi zaidi.

Na vyuo vikuu vinapenda kuchukua idadi kubwa ya wanafunzi waliopitia advance kuliko diploma (Hii inamaana ya kwamba wanafunzi wa diploma hawathaminiwi na vyuo vikuu kama wanavyo thaminiwa wanaotokea advance). Na wanafunzi wanaotokea advance ndio wanaoongoza kufanya vizuri vyuo vikuu kuliko diploma. Diploma masihara mengi na wengi huwa wanishia kudisco au kupata supp.
Umemalizaaaaa haswaaaaa.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Watu Wengi huharibu malengo yao advance

Kwanza kuchaguliwa combination ambayo inafiti na career unayoipenda ni kipengele

Unaweza Ukawa unapenda program za afya huku wakakuchagua CBG/PCM/PGM/arts au biashara na hapo ndio mwisho wa ndoto zako


2. Kutoboa (kufaulu) ni kipengele
Ingawa Kwa Sasa ni ngumu kufeli advance ila kufaulu kumudu ushindani sio rahisi

MWISHO
Nikijitolea mfano mwenyewe na washikaji zangu, advance imetufanya tusome program za ajabu (university) ambazo hatujawahi kuzifikiria.


Watu wa degree ndio wanaoongoza kusoma program za hovyo ambazo hawakuwahi kuzitamani
Combs mbna unabadili km umekidhi vigezo vya kuhamia comb husikaa.
 
***** na mambo ya shule wapi na wapi.
Huyo chokoo humfikii kwa Elimu hasa taaluma yake, wee hangaika na files za kibaha hapo.

Ndo maana umeachwa na kubamnikwa mtoto.
Msomi wa UD, asiye na exposure, poleeeeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utafiti wa Wizara ya elimu unaonesha kwamba kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi Kukacha Kidato Cha 5 na 6 badala yake Kujiunga Vyuo Vya Elimu vya kati ngazi ya Diploma.

Kwani Kuna nini huko Advance na huku Diploma Kuna nini wanakimbilia?

Je inaweka kuwa wanaona Elimu ya Kidato cha 5 na 6 haiwasaidii mtaani kulinganisha na Elimu ya ngazi ya Diploma?

Je, pengine ukijiunga A level unaenda Bachelor na Sokoni Bachelor haiziki kama Diploma?

Shida nini Wanafunzi mnakimbia Ugumu au?

View attachment 2568366
Form 5 na 6 ni kupoteza muda tu, hakuna jipya.
 
Ulipoteza muda poleeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks ..nashukuru nipo na diploma yangu ya miamba(geology) nipo vijijini nasaidia wachimbaji wadogo kutatua changamoto zao...
 
Kutumia mitaala ya NECTA hakuna elimu Tanzania ni upuuzi tu. Ndio mana watoto, vijana, walezi na wazazi wote wanateseka na kuhangaika kama hivyo.

Ukiwa na nafasi nzuri tafuta elimu bora abroad usipotezee mda wako kwa elimu ya Tanzania, utajuta.

Wanaojenga madaraja na barabara engineer wanatoka wapi?
Watawala wanakimblia kutibiwa wapi?
Sasa kuna elimu Tanzania?
💯💯💯
 
Huyo chokoo humfikii kwa Elimu hasa taaluma yake, wee hangaika na files za kibaha hapo.

Ndo maana umeachwa na kubamnikwa mtoto.
Msomi wa UD, asiye na exposure, poleeeeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuchukia sana ila hapa kwa nikkki wa pili umenichekesha daaaah 😂😂😂😂😂 mama zuri mameneja wanamsugua tu daaah

We Countrywide ulitia fora kwakweli na kumsifia kote huko daaaaah aseee 😁😁😁😁🐧🐧🐧🐧

Sema amejifunza aache kuanika anika wachumba zake wahuni tunakojoa tunasepa
 
Odinary diploma/ FTC inatengeneza watendaji wa vitendo wazur hasa fani za sayansi na engineering. Kwa sabb wahitimu wanakuwa competent kwa kuwa kule unaelewa fani yao kwa vitendo. Engineer aliyepitia udsm direct kutoka advance level anajua ledership na design tu ila njoo site sasa. Akutane na Fundi mchundo aliyetoka must/dit/arusha tech atakachomshinda ni design tu ila kuhusu kujua kaz sidhani atamfikia hata Robo. Nimekutana na graduate wengi waliotoka direct from chuo kikuu ni weupe mno katika utendaji wa vitendo
Ni kweli sio tu kwa tz
Mimi nilisoma Engineering kwa mabeberu, na tulikuwa na waliotoka college zao kusomea diploma za engineering na pia wa Alevel kama tz,hii ni UK
Wale wa A level pamoja na mimi tulikuwa tunapeta kwenye vitheory vya mambo ya hesabu za mechanical na Electrical na Maths,ilikuwa ni multi displine Engineering degree ,na ndio kwa mabeberu kwao ni soko kubwa la ajira
Sasa tukija kwenye practical za Mechanical nyingi ni software za CAD 2D na 3D , wale wa waliosome college kumbe ndio ilikuwa mlo wao kwenye modules zao,walikuwa wana tupelekesha na ndio tunaenda kuomba msaada kwao kwenye assignment, za AutoCAD, Solidworks na ProEng enzi zile
Na kwenye Electrical/Electronics practical, wanazijua software kama zote za kutengeneza PCB,kama PSpice Orcad na kina Circuitmaker,wale wa college walikuwa moto wa kuotea mbali, ni dakika kadhaa kwenye practical session ameshakutolea PCB na analysis na ma graph kama yote.
Najua DIT na ATC wanafundisha hizi, ukizijua hizi,wewe tayari unaweza kufanya kazi,au hata kujiajiri, sasa tuje kwa hawa wa Advance,sijui hata kama wanajua hizi Engineering softwares zaidi ya mahesabu ya x na y yasiyokuwa na umuhimu wowote,
 
Usidanganyee hapaaa, hao waDiploma wanagusa kidogo tyuuh huko, wakija Degree wanakua wapyaaa km freshers kutoka advance, tuko nao na tunawaonaaa.
Hapana dada cocastic,labda kama Kliniko ofisa
Lakini kwenye uhandisi na mwenye FTC/Diploma ya DIT au MUST/ATC, siwezi kuamini au labda mitaala ya chuo kikuu ya kibongo ni magumashi kwenye engineering
Unasomea nini?
 
A level ni ngumu inahitaji akili na utulivu mwingi zaidi, inafundishwa kwa muda mfupi na ina mambo mengi sana. Badala ya mtu aende kusoma PCM akomae apate Div 1 ya 9 ndio aende Civil Engineering anatoka O level na Div 2 yake ya mwisho ambayo akienda nayo A level hatoki, anaenda nayo Diploma kule elimu sio ngumu anatoka na GPA ya 3.8 and above msuli uleule ambao angetumia kupata 1 ya 9 A level.

Anachelewa mwaka mmoja ila uhakika wa kwenda Degree. Akimaliza Degree ana uhakika wa kuomba kazi kwa vyeti vya ngazi mbili tofauti. Kwa social sciences anawezekana kusoma masomo ya jioni Degree huku anafanya kazi, mdogo wangu anafanya hivi.
Hivi inawezekana kupiga masomo ya jioni hku ukiwa umeajiriwa
Maana na mm Nina mpango nikihitimu Diploma yangu niunge Moja kwa Moja Bachelor Ili nisipoteze mda kumbe Kuna kupata kazi then unasoma masomo ya jion
 
Back
Top Bottom