Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

Utafiti wa Wizara ya elimu unaonesha kwamba kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi Kukacha Kidato Cha 5 na 6 badala yake Kujiunga Vyuo Vya Elimu vya kati ngazi ya Diploma.

Kwani Kuna nini huko Advance na huku Diploma Kuna nini wanakimbilia?

Je inaweka kuwa wanaona Elimu ya Kidato cha 5 na 6 haiwasaidii mtaani kulinganisha na Elimu ya ngazi ya Diploma?

Je, pengine ukijiunga A level unaenda Bachelor na Sokoni Bachelor haiziki kama Diploma?

Shida nini Wanafunzi mnakimbia Ugumu au?

View attachment 2568366
Ni ujinga tu
 
Ushauri wa katibu wa chama fulani kwamba hata watu wenye digrii wakasome VETA pia umechangia.

Nchi hii kuna baadhi ya viongozi vituko
 
Hivi inawezekana kupiga masomo ya jioni hku ukiwa umeajiriwa
Maana na mm Nina mpango nikihitimu Diploma yangu niunge Moja kwa Moja Bachelor Ili nisipoteze mda kumbe Kuna kupata kazi then unasoma masomo ya jion
Inawezekana ila vyuo vingi huchelewesha zile namba sijui mnaita NIN hivyo inakuwa ngumu baadhi kuanza Degree mwaka huohuo. Muda huo unasubiri kwenda Degree mwakani unaweza anza kazi, mwakani ukaenda evening class. Mdogo wangu kamaliza 2021 mwishoni akaanza kazi 2022 mwanzoni na chuo kaanza mwishoni. Likizo ya mwaka hachukui atachukua kipindi cha UE. Kipindi cha semester exams anapata ruhusa.

Nephew kamaliza 2021 kaenda chuo mwaka huo, zikatokea nafasi akaomba kimasihara akapata. Mwaka jana akaomba kazi kimasihara akapata serikalini ila mkoani, akaripoti kazini akaomba ruhusa akarudi akafanya mitihani ya first year, aka-postpone chuo. Muda akitaka atamalizia miaka yake.

Provided everything is constant
 
Ah! Nimekupta vyema kabisa, kuhusu kupata hiyo verification number ya kuendelea na Bachelor nasikia huwa ngum pale mtu anapo badilisha chuo lakin kama Ukiunganisha bachelor kwenye chuo ambacho umehitimu Diploma huwa hakuna shida unawez pokelewa na ukaendelea

Mm naona Bora niunganishe maana usubiri mwaka mmoja wale ambao wapo advance wanazidi kukuacha aisee
Na vipi kuhusu mikopo huwa wanatoka diploma kwenda Bachelor degree
 
Mikopo wanatoa vizuri sana. Hiyo namba wanachelewesha makusudi hasa chuo kama sio kizuri sana kiujumla hao wanataka mbaki msiende wakakosa watu. Vyuo vinavyojiamini havicheleweshi sana maana kwanza wanaotaka kuja ni wengi. Hata hivyo nasikia unaweza tafuta mwenyewe NACTE, sijui kwa vile nimesoma direct entry
 
Okay 👍 ngoja nipambane
 
Utafiti wa Wizara ya elimu unaonesha kwamba kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi Kukacha Kidato Cha 5 na 6 badala yake Kujiunga Vyuo Vya Elimu vya kati ngazi ya Diploma.

Kwani Kuna nini huko Advance na huku Diploma Kuna nini wanakimbilia?

Je inaweka kuwa wanaona Elimu ya Kidato cha 5 na 6 haiwasaidii mtaani kulinganisha na Elimu ya ngazi ya Diploma?

Je, pengine ukijiunga A level unaenda Bachelor na Sokoni Bachelor haiziki kama Diploma?

Shida nini Wanafunzi mnakimbia Ugumu au?

View attachment 2568366
Advance inaharibu ndoto za vijana wengi. Mtu anataka kuwa daktari, PCB form six matokeo yanamkataa anaishia kusomea nyuki, bora kutokwenda tu advance 😀😀😀. Isitoshe advance ni ngumu
 
Isitoshe advance ni ngumu
Sio ngumu miundombinu ndio inafanya advance ionekane ngumu anaefeli advance akitumia cheti Cha form 4 akaenda kusoma Diploma ananyanyuka na GPA ya 4.9 au anakarisha kabisa 5.0 hapo utasemaje nini kimesababisha apasue vizuri Diploma au Diploma ni rahisi kuliko advance?,
 
Huwezi linganisha mazingira ya advance na diploma
 
Inawezekana ila vyuo vingi huchelewesha zile namba sijui mnaita NIN hivyo inakuwa ngumu baadhi kuanza Degree mwaka huohuo. Muda huo unasubiri kwenda Degree mwakani unaweza anza kazi, mwakani ukaenda evening class. Mdogo wangu kamaliza 2021 mwishoni akaanza kazi 2022 mwanzoni na chuo kaanza mwishoni. Likizo ya mwaka hachukui atachukua kipindi cha UE. Kipindi cha semester exams anapata ruhusa.

Nephew kamaliza 2021 kaenda chuo mwaka huo, zikatokea nafasi akaomba kimasihara akapata. Mwaka jana akaomba kazi kimasihara akapata serikalini ila mkoani, akaripoti kazini akaomba ruhusa akarudi akafanya mitihani ya first year, aka-postpone chuo. Muda akitaka atamalizia miaka yake.

Provided everything is constant
Diploma analipwa sh ngap na degree analipwa sh ngap? Vp kuhusu gharama za Ada alizotumia diploma😅? Maan serikali primary mpk Advance ni bure na chuo unalipwa Ada plus boom miak 3 umemaliza!! Kila mtu afanye anachokiamini
 
Inategemea unafanya nini, nina washkaji zangu wana Degree za IT wanapiga internship ya 300k per month. Yeye ana Dip ya Accounting anajitegemea na analipiwa ada Degree ila angetaka kujilipia salary yake inamtosha kulipa trust me. Akitoka hapo ana uzoefu wa kazi na vyeti viwili, hapohapo alipo anaweza weka cheti cha Degree akapanda ngazi.

Sijalazimisha mtu, kila mtu afanye anachoamini. Mimi niliamini kwenda Advance then Degree.
 
Advance ni kwenda kukua na kama hujielewi unaenda kupotea. Advance inahitaji determination, Chuo cha kati ni kwenda kupata uhuru katika umri mdogo ila kinataka uwe unatambua career path inahitaji nini haswa.
Aidha, chuo cha kati kinajenga watendaji wa kiwango cha kati waliokomaa. Kwa mtoto atakayeelemewa kwa uhuru wa bila kuchungwa atageuka kuwa mzimu wa kolelo.

Kwa hiyo sisi mzimu wa kolelo unatuonaje mkuu
Au unataka tukufanyizie sio
 
Mada muhimu kweli. Na mimi nipo katika wakati huo huo mgumu, nimemaliza form four mwaka jana na nimefaulu vizuri sana ila hapa ninawaza na kuwazua sana niende advance au chuo..??
Nina miaka 23 kwa sasa, form four nili pasua vizuri mnoo kila combination ya science ilikuwa inakubali but nika chagua kwenda kusoma Diploma ya Clinical medicine na penyewe nika washa moto nina GPA inayo niruhusu kwenda MD kama niki takaa .. Kwa sasa nipo nakula madili ya private hospitals. Wale nilio soma nao wali kimbilia Advance na sasa wame rudi kusoma Diploma ya medicine wakati mm huku nakula maisha na umri una ruhusu..
 
kama mimi, asanteh
 
Back
Top Bottom