Diploma miaka mitatu ni ya Afya au? Nafikiri na mafundi mchundo ndio miaka mi3Njia fupi kivipi wakati Diploma ni miaka 3 na Chuo miaka 3 au zaidi ,Huoni aliyeenda Advance ana njia fupi Kwa kupungua mwaka mmja zaidi?
Diploma miaka mitatu ni ya Afya au? Nafikiri na mafundi mchundo ndio miaka mi3Njia fupi kivipi wakati Diploma ni miaka 3 na Chuo miaka 3 au zaidi ,Huoni aliyeenda Advance ana njia fupi Kwa kupungua mwaka mmja zaidi?
Wanakimbilia Astashada na Sitashahada kwani ndio zenye nafasi kubwa ya ajira ukilinganisha na Shahada. Na ukibahatika kuwa na zote 3 unaingilia A/stashahada zeni unatokea Shahada maisha unakua umeyawin, OVER!Utafiti wa Wizara ya elimu unaonesha kwamba kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi Kukacha Kidato Cha 5 na 6 badala yake Kujiunga Vyuo Vya Elimu vya kati ngazi ya Diploma..
Kwani Kuna nini huko Advance na huku Diploma Kuna nini wanakimbilia?
Je inaweka kuwa wanaona Elimu ya Kidato Cha 5 na 6 haiwasaidii mtaani kulinganisha na Elimu ya ngazi ya Diploma?
Je pengine ukijiunga A level unaenda Bachelor na Sokoni Bachelor haiziki kama Diploma?
Shida nini Wanafunzi mnakimbia Ugumu au?
View attachment 2568366
Amesettle na Diploma...Advance ni kupoteza muda
Mtu unasoma naye O LEVEL unamaliza form 6 au uko chuo mwaka wa kwanza mwenzako ana kazi.Ukimaliza chuo mwaka wa 3 au wa tano mwenzio aliyepitia short cut tayari amesettle
Advance diploma ni equivalent ya bachelor degree,ukifaulu vizuri unafanya masters,labda Kama ulimaanisha diplomaUkipata advanced diploma na ukafaulu vizuri unaenda chuo kikuu, umeshakwepa A level.
Muelekeo wa mfumo wa elimu unaenda horijojo. Ni mfumo mkongwe uliopitwa na muda. Elimu yetu imekuwa ya hovyo sana watunga sera wamelala usingizi wa pono hawaelewi wafanyaje kunusuru elimu yetu. Imeanza kwa wanafunzi wa darasa la saba kukacha kuendelea na masomo ya sekondari kwa kuingia kwenye harakati za maisha mapema kuliko kwenda kupoteza muda kufundishwa vitu ambavyo wakifeli hawataruhusiwa kuvifanya maishani mwao na kubaki kama hawakusoma chochote. Hii kufelifeli mitihani ni kizingiti kikubwa cha mwanafunzi kufikia matarajio yake, inabidi sasa wanafunzi wafuate kile wanachoona watakifikia haraka kwa mielekeo yao
Nenda advance ila ujiandae sio pa mchezoMada muhimu kweli. Na mimi nipo katika wakati huo huo mgumu, nimemaliza form four mwaka jana na nimefaulu vizuri sana ila hapa ninawaza na kuwazua sana niende advance au chuo..??
sasa ukisema sio pa mchezo hauoni tayari pamekuwa pagumu?Nenda advance ila ujiandae sio pa mchezo
Kwa nini Advance na si Diploma?Nenda advance ila ujiandae sio pa mchezo