Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

Hizo theories ndo anaenda ku-apply anapoenda kusoma degree, hawa wanaotoka A-level wako more competent kusoma degree kuliko waliotoka O-level na kwenda diploma.
but at the end of time itabidi kwenda kazini ambapo practices zitatumika zaidi hata kama ni gained from exprience kuliko theories learnt
 
but at the end of time itabidi kwenda kazini ambapo practices zitatumika zaidi hata kama ni gained from exprience kuliko theories learnt
Kuwa more knowledgeable kwenye theories ni advantage kubwa kwenye kufanya application maana unakuwa na uelewa wa kiwango cha juu wa unachokifanya au mechanism behind, na hata kufanya innovations lazima uwe na deep knowledge. Kwa hiyo ni muhimu vipanga kuendelea ku pursue viwango vya juu vya maarifa, wale wenye uelewa wa kawaida ni sawa waki opt kwenda diploma.
 
Hakuna elimu ngumu ndani ya muda mchache kama Advance. Narudia tena, ni NGUMU SANA.

Kwenda Form 5&6 basi mwanafunzi mpaka muda huu awe amesoma walau Topic zote za Form 5. Mpaka July awe amecover robo tatu ya Form Six.

Walau hapo kuna ahueni. Vinginevyo, utataga yai au Four ya uhakika 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuwa more knowledgeable kwenye theories ni advantage kubwa kwenye kufanya application maana unakuwa na uelewa wa kiwango cha juu wa unachokifanya au mechanism behind, na hata kufanya innovations lazima uwe na deep knowledge. Kwa hiyo ni muhimu vipanga kuendelea ku pursue viwango vya juu vya maarifa, wale wenye uelewa wa kawaida ni sawa waki opt kwenda diploma.
Kwahiyo na wewe unashauri niende tu advance?
 
form five na six zilipaswa kufutwa.
Kijana akimaliza O-level aende college.
Ule mwaka mmoja wa lasaba vijana wafundishwe English na french language.

mfano akitaka kuwa mwanasheria, anasoma 3yrs diploma ya sheria akifaulu vizuri anakwenda degree ya sheria.. huyu mwenye diploma na ufaulu wa kawaida tunaweza kumuajili maeneo mbalimbali akatusaidia kuliko kijana wa form six.

Kama mtu anataka kuwa engineer, akimaliza O-level anakwenda diploma 3yrs then degree ya engineering kama ana ufaulu mzuri.

Form five na six nikupotezea muda vijana na kuwanyima fursa za maisha.
Na muda wa kusoma masomo miaka nenda rudi ufupishwe primary school iwe miaka 6 tu mitano mambo ya msingi mwaka wa mwisho language orientation English,french etc,, secondary school mwanafunzi aanze kujiandaa achukue fani gani na secondary iwe four years pia.middle college diploma miaka mitatu vijana watoke na special careers na life skills mbalimbali akitaka degree aende akiwa anajua kutafuta maisha yeye mwenyewe

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ajabu mpaka leo kuna wazazi wanawapeleka watoto kutafuta credit ili awe na sifa ya kusoma advance private school.
Sifa za kujiunga na chuo cha kati ni D kadhaa tu.

Karibuni kwa wale wanaohitaji kozi za kilimo certificate mpaka diploma for only 3 years.
 
degree nyingi za engineering ni miaka minne na kwa aliyetoka diploma ni miaka mitatu

Sent using Jamii Forums mobile app

Chuo gani hicho mtu ambaye akijiunga na diploma anasoma degree miaka 3 na anayejiunga na form 6 miaka 4.
Mimi nafahamu wanafunzi wakiwa admitted chuo whether umetoka form 6 or FTC wanamaliza pamoja .
Embu naomba nitajie hicho chuo kinachowatofautisha
 
Fuatilia kina DIT,ATC,MUST
 
Back
Top Bottom