Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

ongezea nyama nyama kidogo
Narudia nenda Diploma. Hata ukiwa vizuri . Huko vyuo vikuu hao wanaotoka diploma wako vizuri zaidi hata kuwabrush wanaotoka advance.

Mfano: advance usome PCM alafu chuo kikuu ukasome ELECTRICAL ENGINEERING.. ambapo unakutana na mtu wa diploma in ELECTRICAL ENGINEERING tayari darasa moja. What next?
 
Njia fupi kivipi wakati Diploma ni miaka 3 na Chuo miaka 3 au zaidi. Huoni aliyeenda Advance ana njia fupi kwa kupungua mwaka mmoja zaidi?
Anayemaliza diploma ana nafasi kubwa ya kuweza hata kujisomesha maana anaweza pata ajira huku anaendelea kusoma so akaweka mambk yake vema mapema sana.

Nilisoma na washkaji zangu walikuwa na diploma za chuo cha Tamisemi wakawa wameajiriwa halimashauri na wanasoma degree. Changamoto ilikuwa ni kubalance tu ratiba ya lectures/ seminars chuo na ratiba ya kazi.

But mambo yalikwenda bila shida.
 
Narudia nenda Diploma. Hata ukiwa vizuri . Huko vyuo vikuu hao wanaotoka diploma wako vizuri zaidi hata kuwabrush wanaotoka advance.

Mfano: advance usome PCM alafu chuo kikuu ukasome ELECTRICAL ENGINEERING.. ambapo unakutana na mtu wa diploma in ELECTRICAL ENGINEERING tayari darasa moja. What next?
Mkuu nimesoma engineering hao waliotoka diploma tumekutana nao sana na tumewaburuza tu iwe theory ama practical ,cha muhimu zaidi ni juhudi na bidii za msomaji.
 
Ukiachana na ukienda diploma unaanza kupata ujuzi mapema na kuwa na Wigo mpana wa kufikiri kwasababu chuo unahesabika ni mtu mzima (faida ya kwenda diploma)

Upande wa advance asikwambie mtu kutoboa advance ni mziki mnene , unatakiwa ujipinde kweli kweli Ili kufaulu advance tofauti na chuo
 
Utafiti wa Wizara ya elimu unaonesha kwamba kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi Kukacha Kidato Cha 5 na 6 badala yake Kujiunga Vyuo Vya Elimu vya kati ngazi ya Diploma.

Kwani Kuna nini huko Advance na huku Diploma Kuna nini wanakimbilia?

Je inaweka kuwa wanaona Elimu ya Kidato cha 5 na 6 haiwasaidii mtaani kulinganisha na Elimu ya ngazi ya Diploma?

Je, pengine ukijiunga A level unaenda Bachelor na Sokoni Bachelor haiziki kama Diploma?

Shida nini Wanafunzi mnakimbia Ugumu au?

View attachment 2568366
Wengi wetu tulifanya huo uamuzi miaka zaidi ya 25 iliyopita,ukifeli fom six,ndio basi tena,lakini ukienda ukapiga diploma yako DIT,ukitoka,na ujuzi kibao,wakati kijana wa form six inabidi asubili miaka minne zaidi siku akimaliza chuo kikuu,
 
Samahani, niliandika chapchap bila kufikiri kwa kina kuhusu advanced diploma. Zamani advanced diploma ni sawa na degree ila sijui siku hizi.
 
Mkuu nimesoma engineering hao waliotoka diploma tumekutana nao sana na tumewaburuza tu iwe theory ama practical ,cha muhimu zaidi ni juhudi na bidii za msomaji.
Sawa. Kwaio wewe ukapata cheti kimoja Cha fani muda huo mwenzio akawa na vyeti viwili vya fani. ?

Hao uliowaburuza walikuwa vilaza tu. Ila kwa Sasa upepo umebadilika, division one na two zile top kabisa ndio hao wanakimbilia diploma . Achana na miaka ya nyuma .
 
Mwenzako akimaliza diploma anaanza kuhangaika na ajila portal huku anasoma degree yake, mwisho wa siku anapata kazi anaanza kufanya kazi huku anamalizia viporo.
 
Chuo gani hicho mtu ambaye akijiunga na diploma anasoma degree miaka 3 na anayejiunga na form 6 miaka 4.
Mimi nafahamu wanafunzi wakiwa admitted chuo whether umetoka form 6 or FTC wanamaliza pamoja .
Embu naomba nitajie hicho chuo kinachowatofautisha
Nenda DIT ukajifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vyuo vyote, ni vyuo vichache vinakubali degree ya engineering miaka mitatu,na hivyo vichache vinakubali kama hiyo diploma umechukulia hapo kwenye hicho chuo,otherwise ni miaka minne.
Taja hivyo vyuo vinavyokataa mtu aliyetoka diploma kama hakusoma kwenye hivyo vyuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odinary diploma/ FTC inatengeneza watendaji wa vitendo wazur hasa fani za sayansi na engineering. Kwa sabb wahitimu wanakuwa competent kwa kuwa kule unaelewa fani yao kwa vitendo. Engineer aliyepiti
Chuo gani hicho mtu ambaye akijiunga na diploma anasoma degree miaka 3 na anayejiunga na form 6 miaka 4.
Mimi nafahamu wanafunzi wakiwa admitted chuo whether umetoka form 6 or FTC wanamaliza pamoja .
Embu naomba nitajie hicho chuo kinachowatofautisha
Ambacho hukijui ndo system ya vyuo vyote mtu aliyesoma diploma kozi hiyo hiyo moja akienda degree ni miaka mitatu ila akibadili kozi ataenda minne km wa 4m 6 labda udaktar lakini kuanzia sheria, engineering na fani zozote hiyo ndo system
 
Back
Top Bottom