Wanafunzi kusahihishiana mitihani shule ya msingi Kimandafu

Walimu ndio wanaongoza kutuletea maviongozi ya hovyo, ndio wapika "uchafuzi" wote wa Serikali za Mitaa na Uchafuzi Mkuu.
Wacha wapate ladha ya upumbavu wanaoufanya.
Walimu tunawalaumu sana huku sisi ambao si walimu zaidi ya kulalamika mtandaoni hakuna hatua ambayo tunaichukua. Watanzania sisi ni watu ambao huwa kila kitu tunakigeuza ni makosa ya mwingine. Huwa hatutaki kuwa accountable.
 
Ndugu, kila mtu ashinde mechi zake.
Nina mchepuko wangu huko
Mkuranga ni mwalimu, ameomba ruhusa ya kwenda kusoma kakataliwa, imebidi atoe 500K ili apate ruhusa, na hili kaniambia baada ya kukamilila kwa huo mpango maana ananijua fika ningehakikisha hao maafisa elimu (kuanzia mratibu elimu kata) wanafikishwa TAKUKURU.

Sasa mwalimu kama huyu utamsaidiaje na ukilaza wake!!? Yaani ni msomo wa shahada na anaenda kuchukua Uzamili lakini anatoa rushwa kununua haki yake!!??

Hii shida si kwa walimu tu ni mentality ya sisi watanzania wengi.
Ina maana hujaona thread humu mtu anakwambia anatafuta huduma fulani anazungushwa halafu 90% za wachangiaji wanamwambia jinsi alivyomjinga anashindwa kujiongeza akatoa rushwa?
Same wanaokwensa kuchukua pesa yao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. Watu wameweka pesa yao lakini inageuka kuwa usumbufu kuichukua hadi watoe rushwa.
Unakumbuka yule trafiki aliyerekodiwa anapokea rushwa? Comment za qaja wanamlaumu aliyerekodi. Hivyo utaona si walimu tu, watanzania tushazoea kununua haki zetu.
 
Mambo ya kawaida hayo katika utendaji wa kazi za kila siku. Mwalim sometime Anakwa na kazi nyingi anawaomba wanafunzi bright wa darasa la juu zaidi kusahihisha Mitihani ya wenzao wa madarasa ya chini. Acha hiyo Shuleni kwetu had matokeo ya muhula wanafunzi bright walikua wakisaidia kazi hizo.
Nb.
Mlalamikaji inaonekana una chuki na mwalimu mkuu wa shule hiyo Lakin pia si kwamba hujui haya hufanyika kwasababu nchi hii ina uhaba mkubwa wa waalim. Kias kwamba sometimes mwalim wa History analazimika kufundisha Mathematics wakati so fani yake.
Nakubaliana na wewe. Mtihani wenyewe unakuta si kujieleza. Nimesahisha na kusahishiwa mitihani. Si jambo geni.
 
Ndugu, kila mtu ashinde mechi zake.
Nina mchepuko wangu huko
Mkuranga ni mwalimu, ameomba ruhusa ya kwenda kusoma kakataliwa, imebidi atoe 500K ili apate ruhusa, na hili kaniambia baada ya kukamilila kwa huo mpango maana ananijua fika ningehakikisha hao maafisa elimu (kuanzia mratibu elimu kata) wanafikishwa TAKUKURU.

Sasa mwalimu kama huyu utamsaidiaje na ukilaza wake!!? Yaani ni msomo wa shahada na anaenda kuchukua Uzamili lakini anatoa rushwa kununua haki yake!!??
Kuna mambo yanahitaji uwe kilaza ili ufanikishe sio kila jambo linahitaji uwe genius.
 
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu.

Kwanza naipongeza serikali yetu kwani kwa kweli ni sikivu sana, hongera serikali ya Samia Suluhu Hassan. Leo Asubuhi walifika wakaguzi kutoka wilayani, tunapongeza. Tatizo inavyoonesha wale wakaguzi aidha walimpa taarifa mwl. Mkuu kabla kuwa awaweke wanafunzi wake vizuri, maana mapema asubuhi walimu walipita kila darasa kuwaeleza wanafunzi ya kuwa mkiulizwa na wakaguzi kuwa mitihani yenu mnasahihishwagwa na wanafunzi mkatae waambieni ni walimu ndio wanatusahihishia.

Ni kwamba wale wakaguzi hawajui mbinu ya kufanya kazi yao, hawajui intelejensia au walifanya makusudi baada ya kuhongwa. Tukisema wakaguzi ndio wachawi wa elimu yetu tunakosea?

Pili, walivyopelekwa kunywa chai walimu walirudi tena madarasani kuwakanya wanafunzi kuwa mkiombwa makararasi yenu ya test muwaambie kuwa tumeacha nyumbani, wakaguzi hawakuwa na mbinu yoyote kupata ukweli?

Sasa hawa wana-qualify kuitwa wakaguzi? Au ni rushwa? Huu ni udhaifu, uzembe, dalili za rushwa kwa upande wa ukaguzi. Ila kwa ujumla tunaishukuru serikali yetu message sent and successfully delivered, maana wamewaahidi wanafunzi ya kuwa hakuna mwanafunzi atarudia kusahihisha tena mtihani wa mwenzake, haya ni mafanikio makubwa.

Ieleweke kuwa hakuna mtu ana muda wala sababu ya kuzusha uwongo humu mtandaoni, serikali ijue ya kuwa yanayoandikwa humu ni ya kweli kuhusu uhuni na uhalifu unaofanyika kwenye utumishi wa umma. Najua wameandika taarifa ya uwongo kwa mabosi waliowatuma.

Kama mnataka ukweli kusanyeni karatasi za majibu kutoka kwa wanafunzi maana usahihishaji wa mwanafunzi na mwalimu ni tofauti sana, kwanza unakuta wanafunzi wamefanya makosa katika kusahihisha na katika kujumlisha maksi. Tuheshimu majukumu yetu na kupiga vita uvivu na uzembe. Uzembe mkubwa uko kwa walimu wakuu, wamejisahau mno.
We mwehu tunakujua unahusika. Siku zenu zinahesabika, mkafanyie uvivu na uzembe majumbani mwenu siyo kudhulumu watoto wetu huku mnalipwa kwa kodi zetu
 
Nimesimamia sana na kusahisha sana mitihani ya form one nikiwa form 3 na 4.

Nilikua najipatia maokoto kwa vitest vya jumamosi ticha wao akiwaandalia wanyabi tunaenda kusimami, kusahisha na kupanga matokeo.
 
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu.

Kwanza naipongeza serikali yetu kwani kwa kweli ni sikivu sana, hongera serikali ya Samia Suluhu Hassan. Leo Asubuhi walifika wakaguzi kutoka wilayani, tunapongeza. Tatizo inavyoonesha wale wakaguzi aidha walimpa taarifa mwl. Mkuu kabla kuwa awaweke wanafunzi wake vizuri, maana mapema asubuhi walimu walipita kila darasa kuwaeleza wanafunzi ya kuwa mkiulizwa na wakaguzi kuwa mitihani yenu mnasahihishwagwa na wanafunzi mkatae waambieni ni walimu ndio wanatusahihishia.

Ni kwamba wale wakaguzi hawajui mbinu ya kufanya kazi yao, hawajui intelejensia au walifanya makusudi baada ya kuhongwa. Tukisema wakaguzi ndio wachawi wa elimu yetu tunakosea?

Pili, walivyopelekwa kunywa chai walimu walirudi tena madarasani kuwakanya wanafunzi kuwa mkiombwa makararasi yenu ya test muwaambie kuwa tumeacha nyumbani, wakaguzi hawakuwa na mbinu yoyote kupata ukweli?

Sasa hawa wana-qualify kuitwa wakaguzi? Au ni rushwa? Huu ni udhaifu, uzembe, dalili za rushwa kwa upande wa ukaguzi. Ila kwa ujumla tunaishukuru serikali yetu message sent and successfully delivered, maana wamewaahidi wanafunzi ya kuwa hakuna mwanafunzi atarudia kusahihisha tena mtihani wa mwenzake, haya ni mafanikio makubwa.

Ieleweke kuwa hakuna mtu ana muda wala sababu ya kuzusha uwongo humu mtandaoni, serikali ijue ya kuwa yanayoandikwa humu ni ya kweli kuhusu uhuni na uhalifu unaofanyika kwenye utumishi wa umma. Najua wameandika taarifa ya uwongo kwa mabosi waliowatuma.

Kama mnataka ukweli kusanyeni karatasi za majibu kutoka kwa wanafunzi maana usahihishaji wa mwanafunzi na mwalimu ni tofauti sana, kwanza unakuta wanafunzi wamefanya makosa katika kusahihisha na katika kujumlisha maksi. Tuheshimu majukumu yetu na kupiga vita uvivu na uzembe. Uzembe mkubwa uko kwa walimu wakuu, wamejisahau mno.
Huu ni upuuzi kama unavielelezo juu ya hili na ushahidi ni vyema kupeleka sehemu husika na siyo kutuletea huku hii inaonyesha hapa Kuna chuki binafsi unavyoleta huku ni mswada tuchangie au nikuonyesha chuki binafsi iliyopo ndani mwako
 
Haya ungeenda kimueleza Mwl mkuu personally kama huna nia mbaya.
Unapoyaleta humu, inaweza kutafsirika kama una chuki binafsi.
 
Back
Top Bottom