Wanafunzi Law School kulikoni kushindwa kujisimamia

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Waswahili wanasema ukishikwa shikamana. Ukitusubiri kina sisi hadi tuelewe kadhia yako unaweza kuwa marehemu kabla ya kupata usaidizi.

Mwakyembe kasema yake:

IMG_20221020_121119_225.jpg

Majaji wameunda tume Yao.

Nyie tume yenu iko wapi? Tume yenu si ndiyo ingekuwa forum nzuri ya kupeleka majumuisho ya shauri lenu?

Mnapaswa kupeleka maoni. Nyuzi lukuki zinayo mawazo mazuri tu.

Anataka maoni mengi mpelekeeni nyuzi yapo makumi elfu ya maoni kwenye nyuzi hizo.

Law School kufumbia macho tuhuma zinazowakabili haikubaliki

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Angalizo: Kutokea University of Nairobi wasaliti ni pamoja na wasiokuwa na ndoo za mawe hata kwenye baraza.
 
sasa kama mtu yupo chuo hajui hata nchi ina mikoa mingapi unategemea nini hapo
kutwa kucha mtandaoni kufuatilia story za udaku....
mtoto anamaliza chuo hajui hata kuandika barua ya kujieleza juu ya jambo flani linalomhusu yeye mwenyewe
kuna tatizo sehemu tena kubwa tu
 
Kama kawaida ya mibongo, ni ming'ombe fulani ya kuswagwa, hata uiambie nini ndio kwanza wanakugeuka na kutosa wakati unajaribu kuwasaidia....hii nchi acha iende hivyo hivyo.....inachosha mno.
wajinga wengi na waliosoma wanahakikisha wajinga wawe wengi ili waendelee kulamba asali...
 
Mkuu wangu hao walistahili uzi ndiyo maana ilibidi kuwapa stahiki Yao:

Lililokuwa taifa la kupigiwa Mfano halipo tena
 
Hii kamati ya Dr. Mwakyembe inaweza kuja na maoni yanayofanana na ile ya majaji, kwa sababu kama wameruhusu wadau kupleka maoni yao, inawezekana na majaji wakawa miongoni mwa hao wadau, ngoja tuone.

NB.

Naona gazeti la Mwananchi la leo limeandika majaji hawataunda tume yao tena, wanasema kama watahitajika kutoa maoni yao kwa tume ya Dr. Mwakyembe wako tayari.
 
Hii kamati ya Dr. Mwakyembe inaweza kuja na maoni yanayofanana na ile ya majaji, kwa sababu kama wameruhusu wadau kupleka maoni yao, inawezekana na majaji wakawa miongoni mwa hao wadau, ngoja tuone.

NB.

Naona gazeti la Mwananchi la leo limeandika majaji hawataunda tume yao tena, wanasema kama watahitajika kutoa maoni yao kwa tume ya Dr. Mwakyembe wako ta

Ni bahati mbaya kuwa majaji wameiondoa tume yao. Ilikuwa kuwe na mjadala wa wazi kwenye moja ya TV pendwa nchini leo kuhusiana na kadhia ya Law School nao umefutwa.

Nyuma ya pazia yasemekana ni mkono wa wenye nguvu kuzitaka taasisi kuipa uhuru tume ya Mwakyembe wa kufanya yake Hofu na mashaka, yakiwa kama tume hizi zikitofautiana na ya Mwakyembe au zikiendelea kuwakaanga washika dau.

Ikumbukwe LST ni a multi billion resource at stake to some individuals.

Mkuu kuwakumbusha waathirika kujitokeza kutoa maoni ni katika mwendelezo ule ule wa kuwakumbusha watanzania kujiandikisha na kupiga kura.

Si unajua kiwango gani hawajajiandikishaga kupiga kura? Hata waiojiandikisha kiwango gani hawapigi kura?

Si nadra kumkuta mtanzania asiyepiga kura akijinasibu kuwa yeye ndiye mwerevu zaidi akiwanyooshea vidole wengine.

Hatari sana.
 
Waswahili wanasema ukishikwa shikamana. Ukitusubiri kina sisi hadi tuelewe kadhia yako unaweza kuwa marehemu kabla ya kupata usaidizi.

Mwakyembe kasema yake:

View attachment 2392634

Majaji wameunda tume Yao.

Nyie tume yenu iko wapi? Tume yenu si ndiyo ingekuwa forum nzuri ya kupeleka majumuisho ya shauri lenu?

Mnapaswa kupeleka maoni. Nyuzi lukuki zinayo mawazo mazuri tu.

Anataka maoni mengi mpelekeeni nyuzi yapo makumi elfu ya maoni kwenye nyuzi hizo.

Law School kufumbia macho tuhuma zinazowakabili haikubaliki

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Angalizo: Kutokea University of Nairobi wasaliti ni pamoja na wasiokuwa na ndoo za mawe hata kwenye baraza.
Safi wamefanya kitu kizuri sanaa
 
Ni bahati mbaya kuwa majaji wameiondoa tume yao. Ilikuwa kuwe na mjadala wa wazi kwenye moja ya TV pendwa nchini leo kuhusiana na kadhia ya Law School nao umefutwa.

Nyuma ya pazia yasemekana ni mkono wa wenye nguvu kuzitaka taasisi kuipa uhuru tume ya Mwakyembe wa kufanya yake Hofu na mashaka, yakiwa kama tume hizi zikitofautiana na ya Mwakyembe au zikiendelea kuwakaanga washika dau.

Ikumbukwe LST ni a multi billion resource at stake to some individuals.

Mkuu kuwakumbusha waathirika kujitokeza kutoa maoni ni katika mwendelezo ule ule wa kuwakumbusha watanzania kujiandikisha na kupiga kura.

Si unajua kiwango gani hawajajiandikishaga kupiga kura? Hata waiojiandikisha kiwango gani hawapigi kura?

Si nadra kumkuta mtanzania asiyepiga kura akijinasibu kuwa yeye ndiye mwerevu zaidi akinyooshea vidole wengine.

Hatari sana.
Najiuliza hiyo program ya kwenye TV iliyofutwa ni kweli ili waipe tume ya Dr. Mwakyembe nafasi ya kufanya kazi yake kwa uwazi zaidi, au kuna sababu nyingine ya siri?

Kama ulivyoandika hiyo LST ni mradi wa watu wanachuma pesa nyingi, sasa kwa akili ya kawaida kuuacha huu mradi uendelee kusemwa semwa vibaya ninsawa na kuharibu sifa yake itakayopelekea kuwapunguzia washika dau wateja.
 
1. Tambua kuwa tume ya Mwakyembe imeitisha maoni mengi kadri iwezekanavyo. Mjadala huu wa kwenye TV SI ulikuwa fursa zaidi kwa kina Mwakyembe kunako nia njema?

2. Pesa LST zinatengenezwa zaidi kunako mass failure. Malalamiko hayaliwi. Angalia mapato haya toka kwa wanafunzi 300 wa subsequent supp moja:

300 x 90,000 = 27,000,000/-

Zingatia supp moja hufanyika kwa masaa tu. Vipi zikiwapo supp 5.

Bad publicity? Hilo awali hawakulijali. Hawakujua itafika huku. Walipenda zaidi pesa.
 
Ni kweli, hiyo njia ya TV ingetumika kukusanya maoni hasa ikizingatiwa hao tume ya Mwakyembe walitoa website yao, ili kila mwenye maoni yake atume kule, kama hatapata nafasi ya kuhojiwa na tume.

Mass failure inatengeneza pesa nyingi sana.

Kuanzia wale mamia wanao disco ada zao zinakuwa ndio zimeyeyuka..

Hao wa Supplementary nao wanachangia...

Kwa ujumla huo mradi wa LST unawalipa vizuri sana wajanja.
 
Kamati ya Mwakyembe isilaliwe mlango wazi.

Jitihada zote ni muhimu kufanyika kwa kuanzia na kuhakikisha maoni yote yametolewa kama ilivyoelekezwa.

Longo longo zinazooonekana zisiache kuangaziwa.
 
Ni kweli, hiyo njia ya TV ingetumika kukusanya maoni hasa ikizingatiwa hao tume ya Mwakyembe walitoa website yao, ili kila mwenye maoni yake atume kule, kama hatapata nafasi ya kuhojiwa na tume.

Mass failure inatengeneza pesa nyingi sana.

Kuanzia wale mamia wanao disco ada zao zinakuwa ndio zimeyeyuka..

Hao wa Supplementary nao wanachangia...

Kwa ujumla huo mradi wa LST unawalipa vizuri sana wajanja.

Kamati ya Mwakyembe isilaliwe mlango wazi.

Jitihada zote ni muhimu kufanyika kwa kuanzia na kuhakikisha maoni yote yametolewa kama ilivyoelekezwa.

Longo longo zinazooonekana zisiache kuangaziwa.
 
Waswahili wanasema ukishikwa shikamana. Ukitusubiri kina sisi hadi tuelewe kadhia yako unaweza kuwa marehemu kabla ya kupata usaidizi.

Mwakyembe kasema yake:

View attachment 2392634

Majaji wameunda tume Yao.

Nyie tume yenu iko wapi? Tume yenu si ndiyo ingekuwa forum nzuri ya kupeleka majumuisho ya shauri lenu?

Mnapaswa kupeleka maoni. Nyuzi lukuki zinayo mawazo mazuri tu.

Anataka maoni mengi mpelekeeni nyuzi yapo makumi elfu ya maoni kwenye nyuzi hizo.

Law School kufumbia macho tuhuma zinazowakabili haikubaliki

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Angalizo: Kutokea University of Nairobi wasaliti ni pamoja na wasiokuwa na ndoo za mawe hata kwenye baraza.
Chuo cha mchongo,waliofeli ndo wanapata nafasi Law
 
Kutokana na response ya Rais kuhusu kikosi kazi , sioni jipya kwenye hiyo kamati.
 
Kamati ya Mwakyembe isilaliwe mlango wazi.

Jitihada zote ni muhimu kufanyika kwa kuanzia na kuhakikisha maoni yote yametolewa kama ilivyoelekezwa.

Longo longo zinazooonekana zisiache kuangaziwa.

Kweli kabisa Uwazi na Uhuru viwepo
 
wanafunzi wa siku hizi ni vilaza wavivu kusoma na wapenda starehe haswa kungonoka.
 
Back
Top Bottom