Wanafunzi na walimu ni kama maadui

Mwanangu alirudi nyumbani siku moja huku akiongea kusema "Ile shule siitaki , usiponihamisha siendi tena"
Imagine mtoto wa darasa la kwanza Mwalimu anamwadhibu kwa kumpigisha ukutani...
Kama hautaki mtoto wako achapwe baki nae nyumbani.

Ungekua na busara ungefika shuleni kujua shida nini sio kutukana watu hapa.
 
Mwanangu alirudi nyumbani siku moja huku akiongea kusema "Ile shule siitaki , usiponihamisha siendi tena"
Imagine mtoto wa darasa la kwanza Mwalimu anamwadhibu kwa kumpigisha ukutani....
Kwa maelezo haya mfundishe mwanao wewe mwenyewe Kwa masomo ya darasa la Kwanza yatakushinda?

Wazazi wenye katoto kamoja mna nongwa Sana.
 
Mwanangu alirudi nyumbani siku moja huku akiongea kusema "Ile shule siitaki , usiponihamisha siendi tena"
Imagine mtoto wa darasa la kwanza Mwalimu anamwadhibu kwa kumpigisha ukutani...
Wazazi wanyakati hizi mmekuwa waovyo Sana, mnawadekeza hao wakina junior mwisho wasiku mnarudi humu kuomba ushauri kuwa watoto wamewashinda
 
Walimu chapeni mboko ila kwa kiasi mkijua na ninyi mna watoto nao wana walimu wao . mtoto bila viboko ni kazi sana kumuweka kwenye msingi mwema.
 
Hawa wenzetu tunaoona hawana maadili ndio wanatuzidi kila kitu... Uvumbuzi etc.

Ajabu sana.πŸ˜‚πŸ™Œ
Eti eeehh wazungu hawana maadili.
Shit hole
Kila kitu mpaka boxer wanazovaa wamebuni hao ambao wanaambiwa hawana maadili.
 
Poleni
Hivi Huwa mnaonaje ukikaa nyumbani mwezi na watoto wako wawili asubuhi had jioni hiv nyumbani izo vurumai zao imagine mtu anakaa nao 70 had 200 baadhi ya shule lazima Kuna mambo hayawez kua sawa kama unavotarajia
 
Huyo mtoto namsubiri afike sekondari nimshughulikie😎
 
Reactions: _ly
Kadri miaka inavyoenda tunazidi kuwa na wazazi wa hovyo sana! Kina baba juniors wanaoshikwa makalio na watoto wao, kisa wazungu hawachapi! Ipo siku atakutia kidole makalioni mbele ya watu ndio utajua kwa nini walimu huadhibu watoto Ili kuepusha tabia hasi
 
Kweli kabisa huko Marekani si ndo watoto wanakwenda na bunduki kuuwa wenzao
 
Kwa primary kama umejaliwa kauwezo, mpeleke mtoto English Medium apate msingi wa kiingereza.
 
Tiba ya Wenzetu imeanzia Nyumbani.Hakuna kitu Wazungu wametupita kama kulea Familia,tuachane na Series au Movies hizo.

Ninayo mifano hai mikubwa.Na ndio maana wako hivyo.
Japo kuna familia ziko huko pia hazina tofauti na baadhi ya familia za huku baadhi.

Kulea watoto kunataka Adabu kubwa sana na utulivu wa hali ya juu kama Mzazi.
 
Karibu Bongo,tuliotaka kuwa Marubani mambo yakagoma.

Sasa hivi tunaendesha ndege watuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Karibu Bongo,tuliotaka kuwa Marubani mambo yakagoma.

Sasa hivi tunaendesha ndege watuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hii Nchi inaua ndoto za Vijana wengi tu

Watu walikuwa na ndoto ya kuwa Madaktari wanaishia kuwa waendesha Bodaboda πŸ™Œ
 
Sawa viboko ni Moja ya njia ya kumrekebisha mtoto, lakini walimu wa siku iz wanashindana kuchapa Yani awe kinara wa kutia bakora, na walio wengi wanasemaga kabisa Mimi sikupenda kuwa mwalimu imetokea Tu bahati mbaya. Sasa mwalimu huyu ataacha kukuchapa fimbo 10 za hasira na kukupigiza ukutani Kwa kosa na kuruka karatasi na kuandika kazi karatasi inayo fuata? UALIMU NI WITO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…