Ambonisye Manandi
Member
- Jan 19, 2018
- 7
- 5
Kosa liko wapi hapo sasa? Kwani serikali inatoa fungu la chakula? Huyo Mh. Diwani ni wa kuigwa kabisa, anajitambua sana. Elimu, elimu, elimu.Diwani wa kata ya Kyimo na mkuu wa shule ya Sekondari Kyimo wamefanya mkutano leo tarehe 23/01/2018 na wazazi wenye wanafunzi hapo shuleni wakilazimisha kuchangia TZS. 70,000/= kwa ajili ya chakula wakati wa muda wa masomo.
TUKUYU MBEYANdo wapi huko mkuu
Kweli serikali haitoi fungu lakn isiw lazm kuchnga kwan wngine watabeba makande kutok nyumban .Kosa liko wapi hapo sasa? Kwani serikali inatoa fungu la chakula? Huyo Mh. Diwani ni wa kuigwa kabisa, anajitambua sana. Elimu, elimu, elimu.
Maskini! Tayari diwani keshamponza mkuu wa shule!Diwani wa kata ya Kyimo na mkuu wa shule ya Sekondari Kyimo wamefanya mkutano leo tarehe 23/01/2018 na wazazi wenye wanafunzi hapo shuleni wakilazimisha kuchangia TZS. 70,000/= kwa ajili ya chakula wakati wa muda wa masomo.
Elfu 70 wewe ndio unaona hela ya kula mwaka au? Watu msio na majukumu ndio mnashangilia ujinga wa kuondoa hata michango ya muhimu shuleni!!Wazazi eleweni serikali haina pesa ajiri ya chakula cha watoto wenu sema hapo kuna harufu ya wizi elfu 70 y'all chakula cha miaka mingapi minne au hapo kuna upigaji