Ambonisye Manandi
Member
- Jan 19, 2018
- 7
- 5
- Thread starter
- #21
Kikao kimefanyika leo 23/1/2018 na kaazimia sh.10,000 mwl wa kujitolea shule nzima?? Na ,70,000 chakula na hili la kipolo 25000 dawat??? Jamani mkuu wa shule umeponzwa kwenye siasa tena kwani hujasikia agizo la RAIS????Chakula ni kwa ajili ya watoto wao wenyewe, serikali haitoi pesa wala haina shamba kulisha wanafunzi, waacheni wazazi wajiletee maendeleo yao wenyewe!
Unasema Elimu Bure halafu wewe mtoto wako umempeleka Feza au Marian!
Kwanini watoto wale chakula shuleni?
Kuna baadhi ya maeneo watoto inabidi watembee umbali mrefu ili kuifikia shule, wakati huo huo hana uhakika wa kula mchana mahali popote.
Wazazi kuchangia chakula ni wajibu wao.