A
Anonymous
Guest
Naomba ujumbe au andiko langu lifike kwa Viongozi wanaohusika, binafsi hali yangu ya maisha ya chuo itakuwa mbaya sana, mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma nasoma Shahada ya Uuguzi na Ukunga.
Shida yangu naomba kufikisha ujumbe huu kwa Bodi ya Mikopo kuwa kuna Wanafunzi zaidi ya 200, tunaomba loan extension lakini Uongozi wa chuo unasema hakuna loan extensions, wakati huo vyuo vingine wanapata.
Tumejaribu kuandika barua ziende Bodi ya Mikopo ila tukaambiwa tutoe anwani ya HESLB, yaani kwa ufupi hatujui hatma yetu na maisha ya chuo na tupo mwaka wa mwisho wa masomo.