Vijana mbona mnapenda kukichafua chuo bila sababu za msingi??msomi gani unakurupuka ?? Au ni first year wewe.
Chumba unachokaa kwa siku ni 750 tsh hiyo pesa zidisha na muda utakaa kaa kipind chote cha masomo ndio inakuja hiyo pesa ya hostel bila kuwepo mambo ya likizo ......umekosa nauli ya kurud kwenu kotokana na umasikin wenu na umasikini wako wa akili chuo kimekuhurumia sehemu ya kulala ambayo ni ( 750Γ likizo siku7 ) wastani wa 5200 kwa punguzo la tsh 50 bado nyokonyokonyoko. UDOM.