Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

Ndugu Bramo nimelipenda tusi lako maana vijana watakuelewa na watakutii ila baada ya mkasa hawatakushukuru wala kukusifu bali utalaumiwa na jamii nzima. Thanks
 
Aaah,,,,,,,mmeshachagua serikali mpya so ndo mnapima ubavu,haya dain haki zenu,ila msije kusumbua,wengine wasisome
 
Ritz, huyo Bramo kama ni mwanafunzi ni wale wanachukua vitu vyao mapema na kuishia mtaani kulala au vyumbani huku wenzie wakiimba kama siyo juhudi zake Nyerere. Kama siyo mwanafunzi ni wanaounga mkono nchi isitawalike
 
Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi inayowakabili wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wanadhaminiwa na bodi ya mikopo huku hatma ya wanafunzi hao kupata fedha zao za kujikimu kwa awamu ya nne ikiwa haijulikani hatimaye wanafunzi wa chuo kikuu dar es salaam UDSM wameamua kuanza rasmi mgomo na maandamano yasiyokoma kesho Jumatatu ya tar. 5 Mei.

Maandamano hayo makubwa ya kushinikiza kupata malipo yao[boom] kwa awamu ya nne yanatarajia kuanza kesho saa moja kamili asubuhi katika eneo la chuo hicho linalojulikana kama REVOLUTION SQUARE na kisha kuelekea barabara ya Ubungo na kumalizikia katika makao makuu ya bodi ya mikopo-HESLB..

Tayari mabango yenye jumbe mbalimbali yanaandaliwa katika hostel za mabibo na main campus ili kuweza kutumika siku ya kesho..

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA.. "SOLIDARITY FOREVER"

nyie andamanen tu,ila mtaan unaandamana peke yako,,,,,,,
 
Ritz, huyo Bramo kama ni mwanafunzi ni wale wanachukua vitu vyao mapema na kuishia mtaani kulala au vyumbani huku wenzie wakiimba kama siyo juhudi zake Nyerere. Kama siyo mwanafunzi ni wanaounga mkono nchi isitawalike

binafs sisapot vurug za aina yeyote,
 
Ndugu Bramo nimelipenda tusi lako maana vijana watakuelewa na watakutii ila baada ya mkasa hawatakushukuru wala kukusifu bali utalaumiwa na jamii nzima. Thanks

Kugoma na kuandamana ni haki kikatiba.
Tuwaache madogo wa demonstrate machungu yao.
Kuna watu wanalipwa laki tatu kwa siku kwa kukaa na kutukana na kuimba mipasho.
Why Madogo wacheleweshewe Boom lao.
Acha nidhamu ya woga
 
All the best fellows
we do say
"Peacefully if we may but forcefully if we want"
huku kwetu seminarini watu ni walaini sana hawanajeuri hiyo
 
wenzenu watawasubiri geti maji na geti aldhi. Labda muandamane kuelekea Goba!
 
Tangu lini wanyoa viduku wakagoma.. udsm kwa sasa ni mdebwedo.. hakuna wakugoma.. kutwa nzima mnakata mauno.. hajulikani mwanamke nani mwanaume nani.. kwendeni zenu..mnatia aibu.. mmekichafua chuo..bambafuuuuu!
 
Nyie Chadema ndiyo mnawadanganya hawa wanafunzi wafanye maandamano.

Mnawaita makamanda haya ngoja jumatatu tuone makamanda watakavyopambana FFU.

Tanzania hakuna maandamano yaliyofanikiwa.

Nawashauri wanafunzi watumie njia za kawaida kudai pesa zenu hamna uwezo wa kufanya maandamo kuishinikiza serikali, wameshindwa Chadema mtaweza nyie.

Mtaishia kupigwa na kufukuzwa vyuoni na mwisho kulalamika polisi wametumia nguvu nyingi kuzima maandamano.

Mzee nilikuwa nakuheshimu sana ,ila kwa sasa naanza kuhisi kuwa kweli wewe UNATUMIA MASABULI KUFIKIRIA japo sijataka kukubali bali ni njaa tu na CDM FEVER ndio vinavyokupelekesha puta.
hivi wale vijana tuliowapeleka JKT tuwaiteje?
Naomba nikukukmbushe kuwa hakuna njia muafaka ilioainishwa ya kudai pesa .
Kuhusu hayo maandamano mimi nawaunga mkono ,nawaambia waandamane tu, hali ni mbaya huko vyuoni.
 
Kayabwe ni miaka takribani mitatu sasa hatujasikia mabomo UD ina maana hawakua na boom? Hebu jipange upya na usemi wako no boom bila bomu. Cha msingi watuleteee humu mipango yao na waeleze wamefanya nini hadi sasa wameamua kuingia barabarani.

Nimewashauri kama kweli nia ni boom na si ajenda ya siri kama ya ukawa basi maandamano yaanzie pale nnje ya geti la bodi wafanye kama mtatiro alivyofanya alipowasilisha rasimu ya katiba iliyotengenezwa na CUF kwa waziri wa katiba na sheria. Otherwise lolote watakalofanya ndani ya chuo kitahesabika kuwa ni vurugu maana chuo hakihusiki chochote na mikopo kwa wanafunzi.

Nasikia siku hizi kwa UD cheki ya wanafunzi ikija ni siku moja tu inafanyiwa kazi boom linazama mifukoni. Hiyo ni juhudi za utawala kuongea na mabenki husika.

Si waambii wasidai haki yao ila wamdai mtu sahihi
 
Mi ndo maana naichukia UDSM kusoma undegraduate. Kila siku migomo. Acheni kusoma endeleeni kudai pesa.
 
Hela zetu zipo zinakuja. Tunasaini wiki hii. Hakuna haha ya vurugu. Asubuhi class kama Kawaida. Wako watu wanafuatilia. Kuchelewa kwa boom sio mara ya kwanza. Tuwe wavumilivu.
Makamanda tutulie
 
Nyie Chadema ndiyo mnawadanganya hawa wanafunzi wafanye maandamano.

Mnawaita makamanda haya ngoja jumatatu tuone makamanda watakavyopambana FFU.

Tanzania hakuna maandamano yaliyofanikiwa.

Nawashauri wanafunzi watumie njia za kawaida kudai pesa zenu hamna uwezo wa kufanya maandamo kuishinikiza serikali, wameshindwa Chadema mtaweza nyie.

Mtaishia kupigwa na kufukuzwa vyuoni na mwisho kulalamika polisi wametumia nguvu nyingi kuzima maandamano.
Jinga jinga hutoa ushauri wa kijinga jinga!
 
Back
Top Bottom