Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Utakuwepo kwenye maandamano kamanda.Wewe acha upuuzi wako aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwepo kwenye maandamano kamanda.Wewe acha upuuzi wako aisee
Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi inayowakabili wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wanadhaminiwa na bodi ya mikopo huku hatma ya wanafunzi hao kupata fedha zao za kujikimu kwa awamu ya nne ikiwa haijulikani hatimaye wanafunzi wa chuo kikuu dar es salaam UDSM wameamua kuanza rasmi mgomo na maandamano yasiyokoma kesho Jumatatu ya tar. 5 Mei.
Maandamano hayo makubwa ya kushinikiza kupata malipo yao[boom] kwa awamu ya nne yanatarajia kuanza kesho saa moja kamili asubuhi katika eneo la chuo hicho linalojulikana kama REVOLUTION SQUARE na kisha kuelekea barabara ya Ubungo na kumalizikia katika makao makuu ya bodi ya mikopo-HESLB..
Tayari mabango yenye jumbe mbalimbali yanaandaliwa katika hostel za mabibo na main campus ili kuweza kutumika siku ya kesho..
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA.. "SOLIDARITY FOREVER"
Ritz, huyo Bramo kama ni mwanafunzi ni wale wanachukua vitu vyao mapema na kuishia mtaani kulala au vyumbani huku wenzie wakiimba kama siyo juhudi zake Nyerere. Kama siyo mwanafunzi ni wanaounga mkono nchi isitawalike
Ndugu Bramo nimelipenda tusi lako maana vijana watakuelewa na watakutii ila baada ya mkasa hawatakushukuru wala kukusifu bali utalaumiwa na jamii nzima. Thanks
Utakuwepo kwenye maandamano kamanda.
Nyie Chadema ndiyo mnawadanganya hawa wanafunzi wafanye maandamano.
Mnawaita makamanda haya ngoja jumatatu tuone makamanda watakavyopambana FFU.
Tanzania hakuna maandamano yaliyofanikiwa.
Nawashauri wanafunzi watumie njia za kawaida kudai pesa zenu hamna uwezo wa kufanya maandamo kuishinikiza serikali, wameshindwa Chadema mtaweza nyie.
Mtaishia kupigwa na kufukuzwa vyuoni na mwisho kulalamika polisi wametumia nguvu nyingi kuzima maandamano.
Jinga jinga hutoa ushauri wa kijinga jinga!Nyie Chadema ndiyo mnawadanganya hawa wanafunzi wafanye maandamano.