Wala mie siitaji kuheshimiwa na wewe, nilidhani na wewe utakuwepo kwenye maandamano kumbe utakuwa umejificha nyuma ya laptop ukifuatilia.Mzee nilikuwa nakuheshimu sana ,ila kwa sasa naanza kuhisi kuwa kweli wewe UNATUMIA MASABULI KUFIKIRIA japo sijataka kukubali bali ni njaa tu na CDM FEVER ndio vinavyokupelekesha puta.
hivi wale vijana tuliowapeleka JKT tuwaiteje?
Naomba nikukukmbushe kuwa hakuna njia muafaka ilioainishwa ya kudai pesa .
Kuhusu hayo maandamano mimi nawaunga mkono ,nawaambia waandamane tu, hali ni mbaya huko vyuoni.
Sawa kaka lakini nawambia ukweli serikali za kiafrika na maandamano?Ritz ni debe tupu
Sawa kaka lakini nawambia ukweli serikali za kiafrika na maandamano?
we ni kilaza tena umefirisika busara nan kakwambia nchi hii haki ipo ?????Mtapigwa na polisi..,. Msiandamane jama!
Kila siku ni migomo ya bumu tu...
Hata walio wasomi wanashindwa kuelewa tatizo liko wap!..kuandamana kwa kukosa boom sio tiba ya tatizo,...leo wasomi wanashindwa kudai kupata katiba bora ambayo ingesaidia kuleta suluhisho kwa matatizo yote,..ukiandamana kwa ajili ya boom alafu husemi kitu kuhusu katiba yako bola usigraduate tu!
kwa upande wangu naunga mkono....................................!maandamano yaanzie revolution square yapitie hapa ardhi university tuelekeee HESLB....................!Pamoja sana.
Kesho hakutakua na mgomo kwan majina yamebandikwa leo jion
so kesho 2tanza kusain BOOM
Tangu lini wanyoa viduku wakagoma.. udsm kwa sasa ni mdebwedo.. hakuna wakugoma.. kutwa nzima mnakata mauno.. hajulikani mwanamke nani mwanaume nani.. kwendeni zenu..mnatia aibu.. mmekichafua chuo..bambafuuuuu!