Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

Kesho hakutakua na mgomo kwan majina yamebandikwa leo jion
so kesho 2tanza kusain BOOM
 
Mzee nilikuwa nakuheshimu sana ,ila kwa sasa naanza kuhisi kuwa kweli wewe UNATUMIA MASABULI KUFIKIRIA japo sijataka kukubali bali ni njaa tu na CDM FEVER ndio vinavyokupelekesha puta.
hivi wale vijana tuliowapeleka JKT tuwaiteje?
Naomba nikukukmbushe kuwa hakuna njia muafaka ilioainishwa ya kudai pesa .
Kuhusu hayo maandamano mimi nawaunga mkono ,nawaambia waandamane tu, hali ni mbaya huko vyuoni.
Wala mie siitaji kuheshimiwa na wewe, nilidhani na wewe utakuwepo kwenye maandamano kumbe utakuwa umejificha nyuma ya laptop ukifuatilia.
 
Nendeni Lumumba mkapewe na kadi za ccm

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Geezzle, acha kudanganya umma hakuna mtu anajiuza kwa kukosa bumu kama siyo tabia yake. Ni mmoja kati ya machangudoa 100 anafanya ukahaba kwa maisha magumu nenda TAMWA au tume ya haki za binadamu watakupa data. Wengi wanafanya hiyo biashara kwa kulazimishwa, pili mahitaji yasiyo ya lazima na tamaa. Jiulize wanaoishiwa ni wawake tu au pamoja na wanaume? Kwanini useme wadada tu wanatajwa?
 
Hata walio wasomi wanashindwa kuelewa tatizo liko wap!..kuandamana kwa kukosa boom sio tiba ya tatizo,...leo wasomi wanashindwa kudai kupata katiba bora ambayo ingesaidia kuleta suluhisho kwa matatizo yote,..ukiandamana kwa ajili ya boom alafu husemi kitu kuhusu katiba yako bola usigraduate tu!
 
hivi bado revolution square aka RODNEY SQUARE bado lina exist ? Dah asee mob saikoloji ni noma. Ila km ni pesa watafurukuta ila km ni madai mengne yataisha geti maji na ardhi. Solidarity Forever.
 
Hata walio wasomi wanashindwa kuelewa tatizo liko wap!..kuandamana kwa kukosa boom sio tiba ya tatizo,...leo wasomi wanashindwa kudai kupata katiba bora ambayo ingesaidia kuleta suluhisho kwa matatizo yote,..ukiandamana kwa ajili ya boom alafu husemi kitu kuhusu katiba yako bola usigraduate tu!

Katiba 'bora'
 
kwa upande wangu naunga mkono....................................!maandamano yaanzie revolution square yapitie hapa ardhi university tuelekeee HESLB....................!Pamoja sana.
 
kwa upande wangu naunga mkono....................................!maandamano yaanzie revolution square yapitie hapa ardhi university tuelekeee HESLB....................!Pamoja sana.

wameshatoa majina ya ku sign boom tayar
 
Kesho hakutakua na mgomo kwan majina yamebandikwa leo jion
so kesho 2tanza kusain BOOM

mkuu majina ya bum yameshafika udsm na matawi yake muda mrefu, problem ni kua check haijafika vyuoni, so hata kama kesho wataanza kusain bt hela bado
 
Daini haki zenu.Tunawategemea sana msaidie vyuo vya pembezoni maana wamechoka lakini hawawezi kuongea.Kumbuka Haki haiombwi inadaiwa.Ila kua makini na mwaka wa kwanza JKT ni Mamluki.
 
Dr. Hujasema chochote ingawa umeongea. Sema usikike. Wenzio wa UDSM hawana mamlaka ya kugoma kwa kesho maana baada ya uchunguzi makini nemgundua kua wanapaswa kupewa chao Tarehe 8 May 2014. Nimeongea na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Rwekaza Mukandala ananiambia uongozi wa chuo na uongozi wa DARUSO unafuatilia kwa makini swala hilo na kwamba naye ni mzazi hivyo hapendi wanafunzi wake wateseke. Amesema swala la cheki linashughulikiwa na afisa mikopo na watu wa bodi. Matumaini yake ni kuwa mpaka jumatano watu wataanza kupata stahili zao. Kuhusu mgomo amesema labda kuna jingine lakini boom si tatizo kubwa kihivyo.

My advise pesa zikiingia mtumie vyema si mitihani ikikaribia mnaanza njaaaaaa utaishia nyumbani bila boom wala degreee
 
Maisha yenyewe yamepanda bei haya na cc watupe 10000 kwa cku baxi maana kila kitu juu
 
Tangu lini wanyoa viduku wakagoma.. udsm kwa sasa ni mdebwedo.. hakuna wakugoma.. kutwa nzima mnakata mauno.. hajulikani mwanamke nani mwanaume nani.. kwendeni zenu..mnatia aibu.. mmekichafua chuo..bambafuuuuu!

nimeshangazwa na hali nayoiona udsm kwa sasa,maana kuna kundi kubwa la vijana wanaovaa heren ambalo sikubahatika kuliona maisha yangu yote pale wakat nasoma undegraduate,,,,then kuna kundi lingine la vijana naloliona la vijana wanaovaa kama madensa wa diamond vile,,,,hadi CoET nako nimeshuhudia vijana just like mapunga,,,,
 
Back
Top Bottom