hata huku MUCE hali ni tete mlo mmoja per day
Heheee.. Chezea kula mpakani mwa mchana na usiku?
kiukweli wenzangu wa mlimani campus mmewahi sana kuandaa kunji wakati tar 8 haijafika kwanini tusiwe na subira ili tujenge hoja ?tusubur kama itazidi tar 8 ndo tujue tutafanyaje.hata hapa MUCE hali ni mbaya lkn mda haujafika .tusikurupuke tutakosa ushahidi na kuishia kupigwa na ffu na kufukuzwa chuo.Ni USHAURI WANGU
Dr. Hujasema chochote ingawa umeongea. Sema usikike. Wenzio wa UDSM hawana mamlaka ya kugoma kwa kesho maana baada ya uchunguzi makini nemgundua kua wanapaswa kupewa chao Tarehe 8 May 2014. Nimeongea na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Rwekaza Mukandala ananiambia uongozi wa chuo na uongozi wa DARUSO unafuatilia kwa makini swala hilo na kwamba naye ni mzazi hivyo hapendi wanafunzi wake wateseke. Amesema swala la cheki linashughulikiwa na afisa mikopo na watu wa bodi. Matumaini yake ni kuwa mpaka jumatano watu wataanza kupata stahili zao. Kuhusu mgomo amesema labda kuna jingine lakini boom si tatizo kubwa kihivyo.
My advise pesa zikiingia mtumie vyema si mitihani ikikaribia mnaanza njaaaaaa utaishia nyumbani bila boom wala degreee
kiukweli wenzangu wa mlimani campus mmewahi sana kuandaa kunji wakati tar 8 haijafika kwanini tusiwe na subira ili tujenge hoja ?tusubur kama itazidi tar 8 ndo tujue tutafanyaje.hata hapa MUCE hali ni mbaya lkn mda haujafika .tusikurupuke tutakosa ushahidi na kuishia kupigwa na ffu na kufukuzwa chuo.Ni USHAURI WANGU
Khaa!! Hii advise yako ilipaaswa kutolewa kwa mtoto wa darasa la 3 si kwa mwanachuo anayesomea shahada ya awali :baby: