Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

Heheee.. Chezea kula mpakani mwa mchana na usiku?

kiukweli wenzangu wa mlimani campus mmewahi sana kuandaa kunji wakati tar 8 haijafika kwanini tusiwe na subira ili tujenge hoja ?tusubur kama itazidi tar 8 ndo tujue tutafanyaje.hata hapa MUCE hali ni mbaya lkn mda haujafika .tusikurupuke tutakosa ushahidi na kuishia kupigwa na ffu na kufukuzwa chuo.Ni USHAURI WANGU
 
Mkuu una busara kama Dr. Orestes Kapinga au kama Dr. S. Kitta.

Salama lakini pande za makanyagio? Au wewe upo blocks/halls?
 
Dr. Hujasema chochote ingawa umeongea. Sema usikike. Wenzio wa UDSM hawana mamlaka ya kugoma kwa kesho maana baada ya uchunguzi makini nemgundua kua wanapaswa kupewa chao Tarehe 8 May 2014. Nimeongea na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Rwekaza Mukandala ananiambia uongozi wa chuo na uongozi wa DARUSO unafuatilia kwa makini swala hilo na kwamba naye ni mzazi hivyo hapendi wanafunzi wake wateseke. Amesema swala la cheki linashughulikiwa na afisa mikopo na watu wa bodi. Matumaini yake ni kuwa mpaka jumatano watu wataanza kupata stahili zao. Kuhusu mgomo amesema labda kuna jingine lakini boom si tatizo kubwa kihivyo.

My advise pesa zikiingia mtumie vyema si mitihani ikikaribia mnaanza njaaaaaa utaishia nyumbani bila boom wala degreee

Khaa!! Hii advise yako ilipaaswa kutolewa kwa mtoto wa darasa la 3 si kwa mwanachuo anayesomea shahada ya awali :baby:
 
kiukweli wenzangu wa mlimani campus mmewahi sana kuandaa kunji wakati tar 8 haijafika kwanini tusiwe na subira ili tujenge hoja ?tusubur kama itazidi tar 8 ndo tujue tutafanyaje.hata hapa MUCE hali ni mbaya lkn mda haujafika .tusikurupuke tutakosa ushahidi na kuishia kupigwa na ffu na kufukuzwa chuo.Ni USHAURI WANGU

mkuu tar 8 hela inabidi iwe imeingia kwenye account sio kusain. alaf unaongelea mlimani tu kumbuka vyuo kama SAUT (eg. moshi campus) walitakiwa kua wamepewa tangu tar 17/4 mkuu kuna sehem kuna tatizo sio bure
 
Haya mkagome ndio mlete uzi hapa msitupigie kelele.nakerwa xana na wanasiasa wasiofanya mambo kwa vitendo.kama mmeamua kufanya jambo jilipue kama M23
 
Njaa ikiwauma vizuri kabisa mtaingia road,chezea njaa wewe
 
Back
Top Bottom