Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

Khaa!! Kwani UE imekaribia?? Maana wengine hushikwa na homa
 
Yaan huku ndo tunakoma kabisa jmn....SUA, kwakwel tuko pa1 ktk hayo maandamano!!!!
 
We nae bogus.. mgomo wa mwisho udsm unajua ulitokea lini..? kila siku maana yake nini?

Emu kaendelee kuandika mabango huko huoni aibu kutumia maneno ya hovyo ili uonekane zinachaj kidogo!!!! To me, mtu ambaye ana comment ivi (pointless) uwa namchukulia hovyo sana hasa kwenye jukwaa hili, shame on you.
 
ningefurah wangekua wanajiorganize wadai ajira wamalizapo shule,,,,maana ndo wanakua na hali mbaua kuliko sasa,,,,

Alafu tunategemea kuwa siku moja rushwa zitaisha, wasomi watasaidia jamii... like this? kugoma kisa pesa kila mara!!! ingekuwa mara moja moja wanagoma kwasababu zingine, ningewarespect sana. Tumaini kipindi fulani waliwahi kugoma ili ada ishuke na watu wasioweza kulipa pesa ndefu, waweze kuafford... l did like this...
 
Hata walio wasomi wanashindwa kuelewa tatizo liko wap!..kuandamana kwa kukosa boom sio tiba ya tatizo,...leo wasomi wanashindwa kudai kupata katiba bora ambayo ingesaidia kuleta suluhisho kwa matatizo yote,..ukiandamana kwa ajili ya boom alafu husemi kitu kuhusu katiba yako bola usigraduate tu!

Hahahaaa huyu Leonard Robert sijui alichangia nini kwenye katiba mpya.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante maburangati ushauri mzuri huo.....kuna hao wanamuita shemeji wakumbuke mwaka juzi vijana walofukuzwa chuo kwa ishu kama hyo hyo walimuomba rais awaombee msamaha baada ya joto ya jiwe ya miez 2 tu mtaan tang wafukuzwe
 
Last edited by a moderator:
Fedha wamekula wajumbe Wa bmk so constraints inawakumba weaker and the world is not fair
 
Dr. Hujasema chochote ingawa umeongea. Sema usikike. Wenzio wa UDSM hawana mamlaka ya kugoma kwa kesho maana baada ya uchunguzi makini nemgundua kua wanapaswa kupewa chao Tarehe 8 May 2014. Nimeongea na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Rwekaza Mukandala ananiambia uongozi wa chuo na uongozi wa DARUSO unafuatilia kwa makini swala hilo na kwamba naye ni mzazi hivyo hapendi wanafunzi wake wateseke. Amesema swala la cheki linashughulikiwa na afisa mikopo na watu wa bodi. Matumaini yake ni kuwa mpaka jumatano watu wataanza kupata stahili zao. Kuhusu mgomo amesema labda kuna jingine lakini boom si tatizo kubwa kihivyo.


My advise pesa zikiingia mtumie vyema si mitihani ikikaribia mnaanza njaaaaaa utaishia nyumbani bila boom wala degreee

hata huku MUCE hali ni tete mlo mmoja per day
 
Mshaanza mgomo au kelele nyingi,tunataka vitendo leo
 
Back
Top Bottom