sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
STATIONERY YA NDANI YA GHETO/HOSTEL
Nguvu ya hii biashara
1.tationery nyingi hufugwa mida ya saa moja jioni hivyo hakunaga mbadala, nguvu yako hapa ni kwamba wewe muda wowote ambao upo chumbani kuna huduma. hata usiku.
2. Stationery zinaweza kuwa mbali na sehemu ambayo unaishi na wanafunzi wenzako, nguvu yako hapa ni ukaribu wa huduma
3. Maeneo mengine yana migao ya umeme, umeme ni wa kurudi usiku, hapa tayari una wateja
Vifaa
-Printer ya bei poa ni "hp 315 inktank", inaaprint kawaida, rangi, ku scan, kusafisha picha za kawaida na passport size
-hii printa niliona inauzwa kaeiakoo pale discount kubwa kwa 290,000, duka lengine pia niliona ni 295,000
-utaweza kuprint hadi karatasi elf 8
-wino ukiisha utanunua vichupa vya kujaza, wanauza elf 4
faida
-Rim yenye karatasi 500 huuzwa shilingi elfu 10 ,
-ukiprint hio kwa bei ya shilingi 100 (ndio bei iliyozoeleka vyuo vya eneo nilipo). mapato ni elf 50, faida itakuwa elf 40
-kuscan nyaraka faida ni kama yote tu
ukimaliza chuo pia inaweza kuiuza hata kwa laki hio printer/
Hii uzuri wake ni kwamba hata mwanafunzi mwenye hii printer ananufaika kujiprintia kazi lakini pia inakuwa kitega uchumi.
KUCHEZESHA GAME.
Nakumbuka nikiwa chuoni mwaka nlikuwa na laptop nikaingiza game ya mpira, yani pale hostel chumba changu kilikuwa kinajaa watu wanacheza game, najuta sikupata wazo la kutoza mtonyo
majuzi nimecheki channel flan huko kenya naona hii imekuwa biashara kabisa na vijana wamejipinda wamenunua kabisa Play station.
Nunua hata ps3 ya mtumba 250,000/= uende kariakoo watakuwekea games humo humo kwa elf 30, una tafuta hata ka tv rapa ka mtumba ka flat kwa laki moja unarudi zako hostel / gheto
hapo sasa kila mechi we seti iwe dakika 10 na iwe 500, kwa saa mtu alipe hata elf 2.
faida utapata tu, maana hata ukimaliza chuo utauza vifaa