MediocrityNi gari dogo linaloweza kuaccomodate watu wawili.
Linatumia motor ambayo inakuwa powered na batteries ili kuweza kutembea, ambapo hilo gari unaliconnect kwenye umeme kama ambavo unacharge simu au laptop yako. Na ni umeme huu huu ambao tunautumia majumbani.
Linaweza kubeba 500kg na pia likiwa full charged linaweza kutembea mpaka 100km
Lipo katika finishing processes.
Kwa maelezo zaidi usisahau kuangalia ITV leo saa moja kamili jioni katika kipindi cha usafiri wako. Na pia alhamisi ijayo saa moja jioni itakuwa ni part 2 ya hicho kipindi.
USIKOSE
View attachment 812960View attachment 812961View attachment 812963View attachment 812964View attachment 812965
kwanza hii imekuwa designed under government institution....Hatukatishi tamaa ila kinacho weza kusemwa tuseme
Je unakumbuka wale walio tengeneza ndege serikali
Iliwasaidia nini
Je unaona hawa na wale wa ndege nani alikuwa mbunifu zaidi
NIMEKUELEWAInasikitisha saana.
Nimekumbuka Nyumbu. Je wamelipa Nina gani?
Idea yenu ilikuwa nzuri ila hamuwezi kufikia malengo pasipo kuwezeshwa economically lazima pawepo na watu wa kuweka mkono ila wasiwe wanasiasa.hata hapa tu wakatisha tamaa washaonekana
Bora wafanye hivo kuliko kuonesha matukio y rais liveUtani umezidi. Kwa hiyo na waandishi wameenda kupiga picha “”gari??”” [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
SASA GARI GANI ILO LIMEKAA TENA KAMA TOROLI ALAFU UNAKUJA SEMA KUWA WAMEVUMBUA GARI. BE OBJECTIVE, HATA QUALITY YA GARI HAIFIKA 1%Ni gari dogo linaloweza kuaccomodate watu wawili.