Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji, wametengeneza gari linalotumia umeme

Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji, wametengeneza gari linalotumia umeme

Ni gari dogo linaloweza kuaccomodate watu wawili.

Linatumia motor ambayo inakuwa powered na batteries ili kuweza kutembea, ambapo hilo gari unaliconnect kwenye umeme kama ambavo unacharge simu au laptop yako. Na ni umeme huu huu ambao tunautumia majumbani.

Linaweza kubeba 500kg na pia likiwa full charged linaweza kutembea mpaka 100km

Lipo katika finishing processes.

Kwa maelezo zaidi usisahau kuangalia ITV leo saa moja kamili jioni katika kipindi cha usafiri wako. Na pia alhamisi ijayo saa moja jioni itakuwa ni part 2 ya hicho kipindi.

USIKOSE

View attachment 812960View attachment 812961View attachment 812963View attachment 812964View attachment 812965
Mediocrity
 
Hatukatishi tamaa ila kinacho weza kusemwa tuseme

Je unakumbuka wale walio tengeneza ndege serikali
Iliwasaidia nini

Je unaona hawa na wale wa ndege nani alikuwa mbunifu zaidi
kwanza hii imekuwa designed under government institution....

pili nadhani linapokuja swala la designing watu wengi huwa mnachukulia poa sana.... lakini design ni kitu kimoja very complex... a lot of calculations huwa zinainvolve katika designing... msione tu vitu vinatembea, kuna watu walijitoa sadaka...

Hebu niambie leo hii mtu mzima aliyeishia darasa la saba amedevelop ndege.... unamuendeleza kwa kipi??? atakuwa na uwezo wa kumaster calculations za aerodynamics ambazo sometimes hata mtu wa bachelor degree zinamtoa nduki???

At least mtu akiwa katika system ya elimu inaweza ikawa rahisi kumuendeleza....
 
Hayo Magari yanayotumia Battery... miaka mingi sana Wakorea wanatumia.... kuna jamaa anafanyakazi "nyumba namba 1" analo hilo, jamaaa alisoma Korea, akarudi nalo! Hongera zao japokuwa hayo mapito, NYUMBU Kibaha, waliyapita zamani sana! Technically, tunarudi nyuma!
 
Hivi hata hawa waliotengeneza magari tunayotumia walianzia huku??? hatukatishani tamaa lakini tutumie comon sense kidogo, hata bati la nje tumeshindwa kulinyoosha na kupiga rangi?? Matumizi ya lugha nayo ni mabaya unasema amegundua gari ya kutumia umeme wakati dukani yapo magari mengi ya watoto unacharge kwa umeme na yanatembea bika shida, pia ukiangalia hicho kituko cha gari utaona ni ka ame assemble tu, vifaa vyote vinatoka japan na china kasoro hizo square pipe labda.
 
Ni mwanzo mzuri issue ni investment na continuity.
 
hata hapa tu wakatisha tamaa washaonekana
Idea yenu ilikuwa nzuri ila hamuwezi kufikia malengo pasipo kuwezeshwa economically lazima pawepo na watu wa kuweka mkono ila wasiwe wanasiasa.
NOTE: MKIHOJIWA MSISEME MMEUNDA GARI ILI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI YA VIWANDA.
 
Ko hiyo gar gani au mkoko ten kichwa cha mwenda wazm hakiwez ktuacha kabisa
 
Ni gari dogo linaloweza kuaccomodate watu wawili.

Linatumia motor ambayo inakuwa powered na batteries ili kuweza kutembea, ambapo hilo gari unaliconnect kwenye umeme kama ambavo unacharge simu au laptop yako. Na ni umeme huu huu ambao tunautumia majumbani.

Linaweza kubeba 500kg na pia likiwa full charged linaweza kutembea mpaka 100km

Lipo katika finishing processes.

Kwa maelezo zaidi usisahau kuangalia ITV leo saa moja kamili jioni katika kipindi cha usafiri wako. Na pia alhamisi ijayo saa moja jioni itakuwa ni part 2 ya hicho kipindi.

USIKOSE

View attachment 812960View attachment 812961View attachment 812963View attachment 812964View attachment 812965
SASA GARI GANI ILO LIMEKAA TENA KAMA TOROLI ALAFU UNAKUJA SEMA KUWA WAMEVUMBUA GARI. BE OBJECTIVE, HATA QUALITY YA GARI HAIFIKA 1%
 
Back
Top Bottom