CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Kweli hawana hela! Unakataa nini?watu acheni uongo, uliyepost ni muongo acha kudanganya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hawana hela! Unakataa nini?watu acheni uongo, uliyepost ni muongo acha kudanganya watu
It is here by law!Ni nani kakuambia BOOM ni HAKI yako?Toka lini ukalazimisha kukopeshwa?
Mkuu wanafunzi wanadai hela ya kujikimu iliyo chelewa, wakulaumiwa ni aliye wachelrwesha. Hata mgomo wa ulimboka Madai yao bado yana ishi.Tangu kiongozi wa mgomo wa madaktari ateuliwe kuwa katibu wa CHADEMA nimekuwa muangalifu sana kushangilia hii migomo maana sio yote ni kutetea maslahi ya wagomaji mingine ni kutumiwa tu!
Teh,kumbe hadi huko wanaisoma namba ,bhac sawaKweli hawana hela! Unakataa nini?
Keep dreaming!It is here by law!
Bodi ya mikopo uliundwa kwa kazi gani?Ni nani kakuambia BOOM ni HAKI yako?Toka lini ukalazimisha kukopeshwa?
Huyu haelewi, hii kitu ipo kwa amri ya sheria. Ukishakuwa eligible, ni haki yako ya kisheria kupata mpaka hapo utakapoondolewa sitahiki hiyo ya kisheria tena kwa sheria!Bodi ya mikopo uliundwa kwa kazi gani?
Ni taarifa kutoka chuo cha afya muhimbili, MUHAS,
Muda wowote wataandamana kwenda bodi ya mikopo kutokana na kucheleweshewa hela za kujikimu, maarufu kama boom.
Inasemekana kuwa pesa hizo walitakiwa wapewe katikati ya mwezi huu wa sita lakini hadi sasa hakuna kilichofanyika, na hawajuwi ni lini watapewa hela hizo.
Wameendelea kuambiwa kuwa wavumilivu hadi serikali itakapotoa pesa siku ambayo haijulikani.
Hivi selekali inayo kusanya kodi hadi kuvuka malengo mbona inaiwia vigumu kulipa?, hizi ni dalili za udhulumaji. Hivi wale wa NIDA walio simamishwa kazi walisha lipwa??Huwezi kusoma ukiwa na njaa,haiwezekani
Hakuna uongo hapo. Its a naked truth.watu acheni uongo, uliyepost ni muongo acha kudanganya watu
Hapo kwa tabia hiyo waendelee tu kuumia, selekali hii inaonekana kutopenda kulipa inapo daiwa, watairahisishia kazimwimnili kugoma hiyo sahau , kipindi cha dhaifu tu mlishindwa kugoma na kumbuka hela ilikuwa inapitilizs hadi miezi miewili DR. mtinange akitangaza tu CA mnasahau kama kuna kitu kinachoitwa boom
Kwa kuwa kuna makubaliano yaliingiwa imeishakuwa haki mpaka pale makubaliano hayo yatakapovunjika, je yamevunjika?Ni nani kakuambia BOOM ni HAKI yako?Toka lini ukalazimisha kukopeshwa?
hahahahaha hivi ukiwa mkurugenzi wa HESLB afu unaona watu wanagoma kisa taasisi yako imeshindwa kutimiza majukumu roho haikusuti hata kidogo....kazi nyingine lazima uwe na moyo wa chuma aisee....!!!!Huwezi kusoma ukiwa na njaa,haiwezekani
Si sahihi sana kuamini kwamba boom si haki yako. Serikali yoyote huwekwa madarakani kwa lengo la kuhakikisha watu wake wanapata huduma muhimu mojawapo ikiwa elimu. Serikali ina mamlaka ya kukusanya kodi kutoka kwa mwananchi, kodi kutoka rasilimali ardhi, maji, anga, wanyama nk ikiwa na lengo kuu la kuhakikisha huduma muhimu zinapatikana. Fedha inayotokana na uvuvi ziwa Victoria ikinunua chaki za kufundishia Mtwara ni jambo la kawaida na pia ni muhimu. Mgawanyo wa rasilimali za nchi ili kuwafikia wananchi kwa kiwango kikubwa ndilo jukumu kuu la serikali. Serikali nyingine hutegemea mafuta tu kama chanzo kikubwa cha kukamilisha mahitaji hayo.Ni nani kakuambia BOOM ni HAKI yako?Toka lini ukalazimisha kukopeshwa?