Tetesi: Wanafunzi wa Chuo Kikuu Muhimbili (MUHAS) kugoma

watu acheni uongo, uliyepost ni muongo acha kudanganya watu
Unaongea nini wewe vyuo kadhaa bado havijapokea izo pesa mwenyewe nipo chuo cha uhasibu lakin mpaka leo hakuna kinacho eleweka..
 
Zoezi la uhakiki wa vyeti vyao lianze haraka sana,kuna watu wanatoka apo kuja mahospitalini kuajiriwa hawana weledi kabisa
 
Spinning doctor wa CHADEMA ndiyo amekuwa wa kwanza kujua kuhusu mgomo!... sawa bwana, ni taasis gani mnaishawishi wagome baada ya MUHAS?
hivi ktk hali ya kawaida mtu unaweza ukapigwa usijue kuwa umepigwa mpaka aje mtu mwengine akwambie kuwa umepigwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…