Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
makubwaaa!! sasa mbona wengi watarudia! kwani wa lanne hautoshi? mi naona wangeufanyia kazi vizuri mtihani wa darasa la nne! sasa na lapili nao wanafanya necta jamani si majanga haya! haya kila laheri!
wanaenda na kasi ya BIG RESULT NOW,kwa mujibu wa filipo Mulugo
mh! iyo big result mwaka huu! haya tusubiri tuone! ila mi ka sijawakubali vile na hiyo necta ya std II
Necta ni baraza la mitihani Tanzania. Ni chombo kinachosimamia mitihani mbalimbali ya kitaifa. Wala necta siyo mtihani. Si lazima mtihani wa taifa usimamiwe na necta. Ipo baadhi ya mitihani ya taifa haisimamiwi na necta hata huo wa darasa la pili si lazima ukasimamiwa na hicho chombo. Mtihani huo ni muhimu unaweza kuwakumbusha wazazi wajibu wao katika elimu ya watoto wao. Mtoto anafika darasa la nne hajui kusoma na kuandika kwani darasa la nne wanajifunza kusoma na kuandika? Pia unakuta mzazi mwingine hajui mwanae yupo darasa la ngapi. Kwa mtihani huo wazazi na walimu watashirikiana bega kwa bega kuhakikisha mtoto anajifunza anayotakiwa kujifunza, chekechea, darasa la kwanza na la pili na kuyazingatia.mh! iyo big result mwaka huu! haya tusubiri tuone! ila mi ka sijawakubali vile na hiyo necta ya std II
yaani wizara imeona mtihani wa taifa ndio suluhu,lengo ni kuchuja,sasa watakaochujwa na wakaendelea kutojua kusoma,kuhesabu na kuandika watafanywaje???nadhan wanapaswa(serikali)kuongeza vitabu na mazingira bora ya kusomea
Necta ni baraza la mitihani Tanzania. Ni chombo kinachosimamia mitihani mbalimbali ya kitaifa. Wala necta siyo mtihani. Si lazima mtihani wa taifa usimamiwe na necta. Ipo baadhi ya mitihani ya taifa haisimamiwi na necta hata huo wa darasa la pili si lazima ukasimamiwa na hicho chombo. Mtihani huo ni muhimu unaweza kuwakumbusha wazazi wajibu wao katika elimu ya watoto wao. Mtoto anafika darasa la nne hajui kusoma na kuandika kwani darasa la nne wanajifunza kusoma na kuandika? Pia unakuta mzazi mwingine hajui mwanae yupo darasa la ngapi. Kwa mtihani huo wazazi na walimu watashirikiana bega kwa bega kuhakikisha mtoto anajifunza anayotakiwa kujifunza, chekechea, darasa la kwanza na la pili na kuyazingatia.
Siyo mtoto anatoka shule anaenda kushinda kwenye vibanda vya video na internet cafe wanacheza games.
Necta ni baraza la mitihani Tanzania. Ni chombo kinachosimamia mitihani mbalimbali ya kitaifa. Wala necta siyo mtihani. Si lazima mtihani wa taifa usimamiwe na necta. Ipo baadhi ya mitihani ya taifa haisimamiwi na necta hata huo wa darasa la pili si lazima ukasimamiwa na hicho chombo. Mtihani huo ni muhimu unaweza kuwakumbusha wazazi wajibu wao katika elimu ya watoto wao. Mtoto anafika darasa la nne hajui kusoma na kuandika kwani darasa la nne wanajifunza kusoma na kuandika? Pia unakuta mzazi mwingine hajui mwanae yupo darasa la ngapi. Kwa mtihani huo wazazi na walimu watashirikiana bega kwa bega kuhakikisha mtoto anajifunza anayotakiwa kujifunza, chekechea, darasa la kwanza na la pili na kuyazingatia.
Siyo mtoto anatoka shule anaenda kushinda kwenye vibanda vya video na internet cafe wanacheza games.
makubwaaa!! sasa mbona wengi watarudia! kwani wa lanne hautoshi? mi naona wangeufanyia kazi vizuri mtihani wa darasa la nne! sasa na lapili nao wanafanya necta jamani si majanga haya! haya kila laheri!
Tena mkuu rafu hizo tumegundua huwa zinachezwa sana na wazazi kwa ushirikiano na wakuu wa shule. Wakati ule kabla ya Dk. Ndalichako kufuta matumizi ya matokeo ya FII kama sifa ya watahiniwa binafsi kujisajili Mitihani ya CSEE, wengi wa watoto ambao walishindwa kufika F4 kwa sababu moja au nyingine walikuwa wanajisomea kwenye vitwisheni uchwara mitaani halafu mwisho wa mwaka wanajisajili kufanya kama PC kwa kutumia matokeo ya FII ambayo nayo walifeli kwa alama F.Hope1 umeeleza vizuri sana,lakin hivi unajua kuwa kuna shule wanafunz wa madarasa mawili tofauti wanakaa chumba kimoja,mfano la 1 na la 2 wanasomea darasa moja,mwalim akija kwa ajili ya la 1 la 2 wanafunga madaftari kufatilia cha la 1 ingawa hakiwahusu,kitabu kimoja watoto 10.,
na kama hii mitihan haitatungwa na kusahihishwa na NECTA basi ujue tunajidanganya,huwa naona rafu za form II
kakosa la kusema huo waziri